TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

Umaskin na ukosefu wa Ajira ndo changamoto uzalendo hamna kabisa.
Huyo mtanzania uliempigia sim akazingua matatizo Yana anzia apo..!
Usiombe umkute HR wa kibongo kwenye haya makampuni ya kichina hasa jinsia ya Ke aisee unakuta nae kashakua roho ya kichina.
 
huu ndio muda wa kupiga sasa,awamu ya hii.

ukute katambi na jamaa wa TRA saa hizi wako wanasikilizia namna hii.baada y kukuchomea.
IMG_3637.jpg
 
Sijui ongezeko la.mapato TRA linatoka wapi..yaani watu wameacha kutumia efd kabisa bila wasiwasi..nilikuwa maeneo ya kariakoo ambayo kipindi cha nyuma hata mnunuzi unaogopa kununua mali bila kupewa risiti maana unakamatwa kabla ya kutoka kariakoo...Yale makubwa ya stationery ZAMZAM kariakoo yanakqtq risiti kwa kujitakia
 
Ninaamini hii halikuwa mara yako ya kwanza kununua mzigo Dar na kuusafirisha mpaka Mwanza,labda unge-share uzoefu kwa sehemu nyingine ulizowahi kununua,je walikupa sababu kama za hao??na ulifanya hivyohivyo??
 
wewe itakua ulitafuta mseleleko kama mdau alivysema hapo juu, mimi nimefanya sana biashara na hao jamaa na sijawahi kukutana na tatizo lolote kuna lipindi naweza kuagiza mzigo bila hata kutoa hela na ukanifikia bila tatizo lolote labda ulikutana na madalali wakakupiga
 
Huwa nanunua kwa jamaa wa auto express, mimi nawawekea tu pesa Bank, wao wenyewe wanapeleka mzigo kwa transporter na risiti pamoja na invoice zinakuwa sealed kwenye bahasha.mzigo unafika salama kabisa.
 
wewe itakua ulitafuta mseleleko kama mdau alivysema hapo juu, mimi nimefanya sana biashara na hao jamaa na sijawahi kukutana na tatizo lolote kuna lipindi naweza kuagiza mzigo bila hata kutoa hela na ukanifikia bila tatizo lolote labda ulikutana na madalali wakakupiga
Madalali wanakaa ofisini kwao?
Ni ajabu
 
unashangaa nini mbona hata TRA penyewe ukiingia ofisini unakutana na madalali wanaoweza kukuchezeshea ili kodi ipungue? labda kama ndio umeanza biashara hivi karibuni ndio utashangaa kusikia unaweza kukutana na dalali ndani ya ofisi flani
Basi hakuna professionalism hapo.maana watu kariakoo wanasema ndiyo michezo yao hiyo hao jamaa.
 
Basi hakuna professionalism hapo.maana watu kariakoo wanasema ndiyo michezo yao hiyo hao jamaa.
hajawahi kuwepo kabisa na ukileta mambo ya professionalism kwenye biashara za Tanzania utapotea mapema sana kwenye scene, do what you do to survive, siri ya biashara za bongo unapaswa kumjua mtu anayemjua mtu, information is akey
 
Nimefanya nao kazi hao jamaa
Na sisi ndio waanzilishi wa hiyo kampuni.
Nashangaa kama nao wameanza hii michezo ya kihuni.
 
Sylvester Katambi?
Huyu mtu nilijua yuko gerezani siku nyingi.
Hao wachina wamewezaje kumpa cheo cha umeneja mtu mwizi kama huyo?
I know that guy.alikua na kesi ya wizi somewhere.
Duh..sylvester huyu huyu ninaemfahamu au unatania mkuu?
 
Back
Top Bottom