TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

Duh..sylvester huyu huyu ninaemfahamu au unatania mkuu?
Huyo huyo..labda niwe nimemfananisha

Screenshot_20211204-122659_WhatsApp.jpg
 
wewe itakua ulitafuta mseleleko kama mdau alivysema hapo juu, mimi nimefanya sana biashara na hao jamaa na sijawahi kukutana na tatizo lolote kuna lipindi naweza kuagiza mzigo bila hata kutoa hela na ukanifikia bila tatizo lolote labda ulikutana na madalali wakakupiga
Wewe Utakuwa sylvester katambi
 
ulitaka bila efd kupata urahisi, sasa imekua ghali, naona unamwaga mboga kwa nguvu
 
Hao jamaa nawajua.
Wako mikocheni karibu na Oxford printers.
Wanauza matairi ya kichina sijui feki yale coz kuna siku nilienda kununua matairi hapo, siku mbili tu yakapasuka,nilivyowarudishia nikakutana na lijamaa flani jeusi hivi lina sura mbaya sijui ndio limeneja lao,nikalielezea shida yangu ,basi likawa linanijibu shit tu.nikajisemea hizi kampuni za wachina hata watu wanaowaajiri huwa ni wajinga wajinga tu kama hilo jamaa.
Watanzania mmezidi upole kama ulinunua siku mbili yakaharibika yapeleke tume ya ushindani ukiambatanisha na copy ya risiti lakini madhaifu mengine ni mamlaka husika kama tbs
 
Wenyewe wanajua,huo ni mchezo wa zamani tuu.Tiraei bado wako kizamani sana.mfano mimi ningekuwa wao ningeenda kukagua import yao halafu nafanya stock taking.tofauti yake ni kwamba wameuza,risit ziko wapi?
bishara haiendi hivyo mkuu
 
Watanzania mmezidi upole kama ulinunua siku mbili yakaharibika yapeleke tume ya ushindani ukiambatanisha na copy ya risiti lakini madhaifu mengine ni mamlaka husika kama tbs
Pale huwa kuna utaratibu wa kurefund any damage inayosababishwa na manufacturer,so sijajua nini kilitokea siku hiyo mpaka huyo mdau akajibiwa shit kama anavyosema mwenyewe.
 
Pale huwa kuna utaratibu wa kurefund any damage inayosababishwa na manufacturer,so sijajua nini kilitokea siku hiyo mpaka huyo mdau akajibiwa shit kama anavyosema mwenyewe.
Pia wanaweza kuteketeza mali kama haijakidhi viwango
 
Aisee mbona ni kama ulichezewa Mchezo Mkuu? Aidha Mchina au Transporter kuna mmoja alikuchoma.. Hasa Transporter ndo nna mashaka naye zaidi

Hiyo Fine ya 1.5mil ulipewa Risiti yake?
 
Back
Top Bottom