TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

Nchi nzima, Kariakoo nzima.
Siku zote Mzigo wa duka ukishafika transport watu wa madukani wao huwa hawahusiki tena.

Kila kitu huwa kinakua chini ya transporter.

Kilichokuepo,
Ni huruma, busara na kuaminiana kwa nyie wote watatu (wewe,transport na muuzaji) ndo ilitakiwa ifanyike kuliweka sawa.

Inaonekana,
Ulimuwakia muuzaji juu juu Naye akakujibu juu juu, tra nao wakaona hueleweki utengenezi mazingira wakakulima tu FAINI usiwapotezee muda.

UNAONEKANA UNA MIHEMKO SANA MTOA MADA.
 
Waliniambia risiti mpaka pesa ipelekwe Bank ionekane ndio wanaprocess order,na kwa sababu nilikua na haraka na vile jamaa zangu wengine wanafanya nao biashara sikuwa na wasiwasi wowote.
Mkuu,
Biashara za JUMLA sikU zote Lazima magumashi ni kawaida yawepo ili upate faida.

Laiti
Uyo mchina angekuuzia Bei halali ya efd sidhan Kama ungemudu kununua.

Ebu kua Kama mfayabishara bhana.

Na nakwambia Kama Kuna washkaji zako walikuunganisha ilo chimbo afu wakajua una asili ya usnitchi.

Siku nyingine huonyeshwi machimbo, Afu mwisho wa sikU utafichwa Kwenye soko ufilisike

Tumia Akili mkuu, usiendeshwe na mihemko.
 
Ninaamini hii halikuwa mara yako ya kwanza kununua mzigo Dar na kuusafirisha mpaka Mwanza,labda unge-share uzoefu kwa sehemu nyingine ulizowahi kununua,je walikupa sababu kama za hao??na ulifanya hivyohivyo??
Uyu atakua ndo alikua ananunua mzigo kwa Mara ya Kwanza,

Huenda Ndo alikua anaenda kufungua duka.

Hizi ishu za kukamatwa na tra, tumekamatwa Sana na yanaisha kimya kimya.

Na ukifikia hatua ya kukupiga faini ya 1.5mil ujue ulijifanya bush lawyer. ukaupepeta sana mdomo, ukajigeuza peter kibatala.

Tra nao Ni watu,
Tena wanazungumzika.

Uyu mtoa mada Kuna mahali alibugi, hayajui maghumashi ya mjini.
 
wewe itakua ulitafuta mseleleko kama mdau alivysema hapo juu, mimi nimefanya sana biashara na hao jamaa na sijawahi kukutana na tatizo lolote kuna lipindi naweza kuagiza mzigo bila hata kutoa hela na ukanifikia bila tatizo lolote labda ulikutana na madalali wakakupiga
Uyu atakua mgeni wa biashara,
Kwa maana anachoshupalia kupewa risiti ya efd.

Utakuta ata yeye dukani kwake anayo afu haitumii, afu anawalaumu wachina kwa kutompatia.

Wafanyabiashara TUACHE roho mbaya, usichopenda kutendewa Basi usimtendee mwenzio.
 
Aisee mbona ni kama ulichezewa Mchezo Mkuu? Aidha Mchina au Transporter kuna mmoja alikuchoma.. Hasa Transporter ndo nna mashaka naye zaidi

Hiyo Fine ya 1.5mil ulipewa Risiti yake?
Kilichotokea mtoa mada,
kishanitokea Mimi binafs zaidi ya mara 8.

Tena Mzigo unakamatiwa transport penyewe jagwani K'koo na Haina risiti.

NA ZOTE NIMECHOMOKA SALAMA na bado NADUNDA TU MJINI.

Apo Cha muhimu Lazima uwe na mtu wako wa mishen town Apo Apo K'koo pamoja na mtu wa transport.

Wale always wanakuaga Kama wale askali wa patrol wikendi usiku, wanatafuta TU Ela ya supu jumatatu asubh.

Mazungumzo yapo,
Wanapozwa kidogo maisha yanaendelea kwa maana na wao wanajua Ni jins gani ela ilivyo ngumu mtaani.

Ukijifanya kichwa maji, hutoboi wanakulima faini na mzigo wanataifisha na kwenye game unapotea mazima.
 
Nchi nzima, Kariakoo nzima.
Siku zote Mzigo wa duka ukishafika transport watu wa madukani wao huwa hawahusiki tena.

Kila kitu huwa kinakua chini ya transporter.

Kilichokuepo,
Ni huruma, busara na kuaminiana kwa nyie wote watatu (wewe,transport na muuzaji) ndo ilitakiwa ifanyike kuliweka sawa.

Inaonekana,
Ulimuwakia muuzaji juu juu Naye akakujibu juu juu, tra nao wakaona hueleweki utengenezi mazingira wakakulima tu FAINI usiwapotezee muda.

UNAONEKANA UNA MIHEMKO SANA MTOA MADA.
Ndugu,ukisoma maelezo yangu,mimi nimelipia full price nikiwa nahitaji documents zangu zote ili kuepusha usumbufu, kungekua na maelewano mengine wala hata nisingejisumbua kuleta huu uzi humu jf.na mbaya zaidi huyo Sylvester Katambi sijui ndio meneja wao ana mdomo mchafu balaa,hana customer care nzuri, hajataka kunielewesha vizuri yeye kaniachia msala.mpaka nimehisi huenda yeye ndiye amenifanyia huo uhuni.
 
Aisee mbona ni kama ulichezewa Mchezo Mkuu? Aidha Mchina au Transporter kuna mmoja alikuchoma.. Hasa Transporter ndo nna mashaka naye zaidi

Hiyo Fine ya 1.5mil ulipewa Risiti yake?
Sijapewa mkuu.jamaa mwanzo walikua wanataka 4m vinginevyo wanataifisha mzigo.ndio tukashushana hadi 1.5.
 
Nchi nzima, Kariakoo nzima.
Siku zote Mzigo wa duka ukishafika transport watu wa madukani wao huwa hawahusiki tena.

Kila kitu huwa kinakua chini ya transporter.

Kilichokuepo,
Ni huruma, busara na kuaminiana kwa nyie wote watatu (wewe,transport na muuzaji) ndo ilitakiwa ifanyike kuliweka sawa.

Inaonekana,
Ulimuwakia muuzaji juu juu Naye akakujibu juu juu, tra nao wakaona hueleweki utengenezi mazingira wakakulima tu FAINI usiwapotezee muda.

UNAONEKANA UNA MIHEMKO SANA MTOA MADA.
Huo ni uhuni tu. Nina wateja wa mikoani huwa naweka risiti zao za efd ndani ya mzigo. Kama ikitokea tra wakauliza nawaambia risiti iko ndani ya boksi wafungue.
Kwanini wa dukani asihusike na yeye ndio kauza mzigo? Kama kampa risiti rekodi zipo anaweza kutoa uthibitisho. Ni ujanja ujanja tu pande zote.
 
Mkuu,
Biashara za JUMLA sikU zote Lazima magumashi ni kawaida yawepo ili upate faida.

Laiti
Uyo mchina angekuuzia Bei halali ya efd sidhan Kama ungemudu kununua.

Ebu kua Kama mfayabishara bhana.

Na nakwambia Kama Kuna washkaji zako walikuunganisha ilo chimbo afu wakajua una asili ya usnitchi.

Siku nyingine huonyeshwi machimbo, Afu mwisho wa sikU utafichwa Kwenye soko ufilisike

Tumia Akili mkuu, usiendeshwe na mihemko.
Sasa mbona unatoa siri zenu?
Hapa ni kama wewe nae unawachoma wenzio,mbinu zenu zinafichuka.
 
sasa ulipoona kwa hao wauzaji wapya unapewa maelekezo tofauti ulitakiwa ushtuke na ujiongeze,Mjini janja janja nyingi
Kwa mfanyabiashara mzoefu.

Maelekezo aliyopewa mtoa mada Ni maelekezo common Sana kwa biashara za jumla kusafirisha mikoani.

Hamna kigeni wala janja janja pale.

Labda atwambie mtoa mada Ndo alikua anaanza biashara sikU iyo.

Hizo ajali Sio yeye TU,
Zimetukuta wengi Sana.

Ila the way unavyohandle ile situation, Ndo the way itaamua hatma yako khs mzgo husika.

Yaani Itoshe kusema TU,
Mtoa mada Ni mshamba,
afu limbukeni,
afu ana kiroho Cha kwanini.
Yaani kile kiroho Cha kimaskini.
Kile kiroho Cha Bora tukose wote.

Mtoa mada Ndo Aina ile ya watu enzi zile primary mmenda kuiba miwa ya babu,
Afu akakamatwa yeye tu Kisha akataja kua nilikua na flani na flani na flani.

Yaani anaona Ni furaha Sana mharibikiwe wote.

UYU JAMAA MIYEYUSHO SANA[emoji3525]
 
Mimi ni mjasirilismali,nina duka la matairi ya magari huku Mwanza.

Nilielekezwa kwenye hiyo kampuni tajwa hapo juu kuwa wanauza matairi ya jumla,basi nikafunga safari mpaka dar nikawatafuta mpaka ofisini kwao,ofisi zao ziko mikocheni sehemu inaitwa njia panda ya mawaziri.

Nilivyofika nikaandika order yangu nikalipia wakanipa risiti ya malipo tu,wakaniambia mzigo wangu wataupeleka wenyewe kwa transporter wangu na documents zote watampa transporter,nami sikuona ni tatizo kwani documents zinatakiwa ziambatane na mzigo njiani ili kuepuka usumbufu.

Kweli mzigo walipeleka kwa transporter lakini bila documents zozote, na mbaya zaidi siku hiyo TRA walikuwa na ukaguzi maeneo hayo ya Ilala hivyo mzigo wangu ukakamatwa na TRA, transporter akanijulisha hilo suala,nikawapigia wahusika kwa kutumia hizi number 0713174... na 0763235... ili kujua kulikoni. Hiyo number ya kwanza ni ya mtu niliyeambiwa anaitwa Sylvester Katambi ndiye meneja wa hiyo kampuni,huyo jamaa baada ya kumueleza shida yangu alichonijibu ni kuwa wao mzigo ukishafika kwa transporter hauwahusu tena na ana majibu mabaya sana utadhani sio Mtanzania. Sasa TRA wamenipiga fine ya 1.5m kwa makosa yaliyosababishwa na hao wapuuzi.

Nimejaribu kufanya uchunguzi kwa baadhi ya jamaa zangu Kariakoo kuhusiana na hii kampuni,wengi wanasema hawa jamaa ndiyo michezo yao hiyo,hawatoi risiti kwa wateja na mzigo ukikamatwa wao hawakusaidii chochote.

Wito wangu kwa TRA ifuatilieni hii kampuni kwa ukaribu muwachukulie hatua za kinidhamu kwa sababu wanafanya biashara za kihuni.

Nimeambatanisha risiti ya malipo waliyoniandikia ofisini kwao kama ushahidi.

View attachment 2032318
Nishanunua matairi hapo ROADCRUZA kwa akaunti ya mtu mwingine na walinipa risiti ya efd.
 
Huo ni uhuni tu. Nina wateja wa mikoani huwa naweka risiti zao za efd ndani ya mzigo. Kama ikitokea tra wakauliza nawaambia risiti iko ndani ya boksi wafungue.
Kwanini wa dukani asihusike na yeye ndio kauza mzigo? Kama kampa risiti rekodi zipo anaweza kutoa uthibitisho. Ni ujanja ujanja tu pande zote.
Mimi Mara zote nilizokamatwa watu wa madukani huwa wanatoa ushirikiano.

Tena Watu wa madukani Ndo huwa wanalimaliza fasta Sana kuliko Hata hai transport,
Maana wao hukutana na hivyo visanga Mara kwa Mara. Kuna Hali flan washazoeana sana na maafisa wa tra.

Sasa,
Ili upate msaada unatakiwa kutumia Akili na wala Sio mihemko Wala kulaumiana.

Mtoa mada anaonekana Ni mtu mlalamishi sana.

Majanga yanapotokea kulaumiana hakufai, Bali Ni kuangalia tunafanyaje kuvuka hapo tulipo.

Akili yangu inanambia mtoa mada alitumia lugha mbovu au staha kuwasiliana na muuzaji.

Na matokeo yake muuzaji nae kaamua liwalo na liwe.

Kama Ni mfanyabiashara,
Nadhan utakua ushawai kutana na wateja Aina ya mtoa mada.

Wateja wale mabushlawyer wanaojifanya kila kitu wanajua.

Aina ile ya wateja wanaojiitaga Mteja Ni MFALME,afu muuzaji Ni mavi.
 
Kwa mfanyabiashara mzoefu.

Maelekezo aliyopewa mtoa mada Ni maelekezo common Sana kwa biashara za jumla kusafirisha mikoani.

Hamna kigeni wala janja janja pale.

Labda atwambie mtoa mada Ndo alikua anaanza biashara sikU iyo.

Hizo ajali Sio yeye TU,
Zimetukuta wengi Sana.

Ila the way unavyohandle ile situation, Ndo the way itaamua hatma yako khs mzgo husika.

Yaani Itoshe kusema TU,
Mtoa mada Ni mshamba,
afu limbukeni,
afu ana kiroho Cha kwanini.
Yaani kile kiroho Cha kimaskini.
Kile kiroho Cha Bora tukose wote.

Mtoa mada Ndo Aina ile ya watu enzi zile primary mmenda kuiba miwa ya babu,
Afu akakamatwa yeye tu Kisha akataja kua nilikua na flani na flani na flani.

Yaani anaona Ni furaha Sana mharibikiwe wote.

UYU JAMAA MIYEYUSHO SANA[emoji3525]
Kwa hiyo na yeye ni mwizi siyo? Nimekupata kuwa wote walishiriki kukwepa kulipa kodi.
 
Sasa mbona unatoa siri zenu?
Hapa ni kama wewe nae unawachoma wenzio,mbinu zenu zinafichuka.
Biashara za kibongo bongo bila maghumashi utoboi.

Na machimbo yote ya Bei kitonga sana mjini, habar za efd huwa Ni kitendawili.

Kampuni inakua na duka dogo la wateja wa rejareja kuzugia (wanakotoa risiti za efd)

Afu wanakua na godown kubwa wanakohifadhi mizigo mingi kwa ajili ya wateja wakubwa wa JUMLA.
(huku hamnaga mashine na wao hufanya delivery free)

Na Oda zote zinazotoka godown hupelekwa transport au kwa mlengwa usiku usiku kukwepa Vimeo ( tra, tbs n.k)

Zikishafika,
Kazi yao inakua imeishia Apo.

Sasa Kama mtoa mada hajui hizi mechanism, Basi atakua mgeni Sana kwenye mishe mishe za town[emoji4].
 
Kwa hiyo na yeye ni mwizi siyo? Nimekupata kuwa wote walishiriki kukwepa kulipa kodi.
Mtoa mada anajua anachokifanya,
Asitake kutufanya wote wajinga humu.

VINGINEVYO aseme kua Ndo alikua anaanza biashara.

Haiwezekani eti uwe mfanyabiashara wa JUMLA afu ushangazwe na situation ilomkuta mtoa mada.

Wafanyabiashara wote kukwepa Kodi tunapenda ili kuongeza faida,

Ndo maana Kwenye makampuni wakiona eti mfanyabiashara wa JUMLA unalilia risiti ya efd wanakushangaa sana.

UNAONEKANA Kabisa wee bado Tia maji Tia maji mjini hapa.
 
Sasa mbona unatoa siri zenu?
Hapa ni kama wewe nae unawachoma wenzio,mbinu zenu zinafichuka.
Nnachokiongea Wala Sio kigeni,
Tra wote mpaka kwa kamishna mkuu wanajua kinachofanyika.

Sema TU kubebana na ubinadamu unachukua nafas ili maisha menhine yaendelee.

Ata wao tra wanajua Kabisa kikokotozi Cha mashine ya efd ukikifata Kama kilivyo unafilisika mchana kweupe.

Kile kikokotozi Kiko kisiasa zaidi kuliko uhalisia.

Ndo maana Hakuna mfanyabiashara yeyote Tanzania anayejivunia Kutoa risiti kwa mashine ya efd.
 
Ndugu,ukisoma maelezo yangu,mimi nimelipia full price nikiwa nahitaji documents zangu zote ili kuepusha usumbufu, kungekua na maelewano mengine wala hata nisingejisumbua kuleta huu uzi humu jf.na mbaya zaidi huyo Sylvester Katambi sijui ndio meneja wao ana mdomo mchafu balaa,hana customer care nzuri, hajataka kunielewesha vizuri yeye kaniachia msala.mpaka nimehisi huenda yeye ndiye amenifanyia huo uhuni.
Mkuu,
ulitakiwa Kwanza baada ya kuelekezwa I'll chimbo na watu wa chimbo (kina katambi) kukupa utaratibu wao.

Ulipaswa uwasiliane na waliokuunganisha uko ujue wao huwa wanafanyaje.

Na Hakuna mahali nmeona ukiongelea kuwaconsult wenzio wanaonunuaga mzigo Apo kwa hao jamaa uwa wanafanyaje.
(Uliingia kichwa kichwa)

Anyway Sio mbaya,
Ushakosea tayar, ebu jishushe tuliza jazba. Afu kwa ustaarabu ongea na pande zote 3 (tra,wachina, na transport) ujue unalimalizaje.

Mimi nnaeongea hapa,
Awamu Yote ya magu Nmeshakamatwa zaidi ya mara 20 kuanzia bandarini, transport Hata humu mitaani.

Ila Hakuna Hata Mara Mona niliwai kupigwa faini,
Tunamalizana TU hivyo hivyo kisiasa kwa Ela ya kubrashia viatu na maisha yanasonga.

Hao jamaa wa tra umewaingia kichwa kichwa,

TRA SIO WAKATILI KIIVYO MKUU
 
Back
Top Bottom