Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Sawa,ndio kujifunza mkuuNawe mleta mada mshamba sana.hii ulitakiwa ukaireport direct kwa meneja wa tra kinondoni.
Hapana,nisingekua na akili mbovu kiasi hicho,mzigo unasafirishwa hadi mwanza usiwe na risiti.Lakini si unakumbuka walikupa bei mbili.ya bila Efd na yenye Efd,unakumbuka vizuri ulichagua ile ya bila EFD ambayo ilikuwa ndogo?
Awakomalie watarajesha tu,tena aambatane na maofisa wa TRA na TAKUKURU atawashika tuUkiwa na muda fuatilia watarejesha pesa yako na garama usumbufu.
Huwa nanunua kwa jamaa wa auto express, mimi nawawekea tu pesa Bank, wao wenyewe wanapeleka mzigo kwa transporter na risiti pamoja na invoice zinakuwa sealed kwenye bahasha.mzigo unafika salama kabisa.Ninaamini hii halikuwa mara yako ya kwanza kununua mzigo Dar na kuusafirisha mpaka Mwanza,labda unge-share uzoefu kwa sehemu nyingine ulizowahi kununua,je walikupa sababu kama za hao??na ulifanya hivyohivyo??
Madalali wanakaa ofisini kwao?wewe itakua ulitafuta mseleleko kama mdau alivysema hapo juu, mimi nimefanya sana biashara na hao jamaa na sijawahi kukutana na tatizo lolote kuna lipindi naweza kuagiza mzigo bila hata kutoa hela na ukanifikia bila tatizo lolote labda ulikutana na madalali wakakupiga
Ni kweli mkuu,hilo ndio kosa nililolifanya.niliwaaminisasa ulipoona kwa hao wauzaji wapya unapewa maelekezo tofauti ulitakiwa ushtuke na ujiongeze,Mjini janja janja nyingi
unashangaa nini mbona hata TRA penyewe ukiingia ofisini unakutana na madalali wanaoweza kukuchezeshea ili kodi ipungue? labda kama ndio umeanza biashara hivi karibuni ndio utashangaa kusikia unaweza kukutana na dalali ndani ya ofisi flaniMadalali wanakaa ofisini kwao?
Ni ajabu
Nawe mleta mada mshamba sana.hii ulitakiwa ukaireport direct kwa meneja wa tra kinondoni.
Basi hakuna professionalism hapo.maana watu kariakoo wanasema ndiyo michezo yao hiyo hao jamaa.unashangaa nini mbona hata TRA penyewe ukiingia ofisini unakutana na madalali wanaoweza kukuchezeshea ili kodi ipungue? labda kama ndio umeanza biashara hivi karibuni ndio utashangaa kusikia unaweza kukutana na dalali ndani ya ofisi flani
Soma maelezo yangu vizuri.hakuna sehemu nimelia beiUsikute ulitaka bei bila ya EFD halafu wakakupa mzigo na kufanya hiviView attachment 2032444
hajawahi kuwepo kabisa na ukileta mambo ya professionalism kwenye biashara za Tanzania utapotea mapema sana kwenye scene, do what you do to survive, siri ya biashara za bongo unapaswa kumjua mtu anayemjua mtu, information is akeyBasi hakuna professionalism hapo.maana watu kariakoo wanasema ndiyo michezo yao hiyo hao jamaa.
Duh..sylvester huyu huyu ninaemfahamu au unatania mkuu?Sylvester Katambi?
Huyu mtu nilijua yuko gerezani siku nyingi.
Hao wachina wamewezaje kumpa cheo cha umeneja mtu mwizi kama huyo?
I know that guy.alikua na kesi ya wizi somewhere.