TRA fuatilieni hii kampuni ya wachina inayoitwa Hiview International Co Ltd, wanakwepa kodi sana

Wewe Utakuwa sylvester katambi
 
ulitaka bila efd kupata urahisi, sasa imekua ghali, naona unamwaga mboga kwa nguvu
 
Watanzania mmezidi upole kama ulinunua siku mbili yakaharibika yapeleke tume ya ushindani ukiambatanisha na copy ya risiti lakini madhaifu mengine ni mamlaka husika kama tbs
 
Wenyewe wanajua,huo ni mchezo wa zamani tuu.Tiraei bado wako kizamani sana.mfano mimi ningekuwa wao ningeenda kukagua import yao halafu nafanya stock taking.tofauti yake ni kwamba wameuza,risit ziko wapi?
bishara haiendi hivyo mkuu
 
Watanzania mmezidi upole kama ulinunua siku mbili yakaharibika yapeleke tume ya ushindani ukiambatanisha na copy ya risiti lakini madhaifu mengine ni mamlaka husika kama tbs
Pale huwa kuna utaratibu wa kurefund any damage inayosababishwa na manufacturer,so sijajua nini kilitokea siku hiyo mpaka huyo mdau akajibiwa shit kama anavyosema mwenyewe.
 
Pale huwa kuna utaratibu wa kurefund any damage inayosababishwa na manufacturer,so sijajua nini kilitokea siku hiyo mpaka huyo mdau akajibiwa shit kama anavyosema mwenyewe.
Pia wanaweza kuteketeza mali kama haijakidhi viwango
 
Aisee mbona ni kama ulichezewa Mchezo Mkuu? Aidha Mchina au Transporter kuna mmoja alikuchoma.. Hasa Transporter ndo nna mashaka naye zaidi

Hiyo Fine ya 1.5mil ulipewa Risiti yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…