Mkuu,Waliniambia risiti mpaka pesa ipelekwe Bank ionekane ndio wanaprocess order,na kwa sababu nilikua na haraka na vile jamaa zangu wengine wanafanya nao biashara sikuwa na wasiwasi wowote.
Uyu atakua ndo alikua ananunua mzigo kwa Mara ya Kwanza,Ninaamini hii halikuwa mara yako ya kwanza kununua mzigo Dar na kuusafirisha mpaka Mwanza,labda unge-share uzoefu kwa sehemu nyingine ulizowahi kununua,je walikupa sababu kama za hao??na ulifanya hivyohivyo??
Uyu atakua mgeni wa biashara,wewe itakua ulitafuta mseleleko kama mdau alivysema hapo juu, mimi nimefanya sana biashara na hao jamaa na sijawahi kukutana na tatizo lolote kuna lipindi naweza kuagiza mzigo bila hata kutoa hela na ukanifikia bila tatizo lolote labda ulikutana na madalali wakakupiga
Kilichotokea mtoa mada,Aisee mbona ni kama ulichezewa Mchezo Mkuu? Aidha Mchina au Transporter kuna mmoja alikuchoma.. Hasa Transporter ndo nna mashaka naye zaidi
Hiyo Fine ya 1.5mil ulipewa Risiti yake?
Ndugu,ukisoma maelezo yangu,mimi nimelipia full price nikiwa nahitaji documents zangu zote ili kuepusha usumbufu, kungekua na maelewano mengine wala hata nisingejisumbua kuleta huu uzi humu jf.na mbaya zaidi huyo Sylvester Katambi sijui ndio meneja wao ana mdomo mchafu balaa,hana customer care nzuri, hajataka kunielewesha vizuri yeye kaniachia msala.mpaka nimehisi huenda yeye ndiye amenifanyia huo uhuni.Nchi nzima, Kariakoo nzima.
Siku zote Mzigo wa duka ukishafika transport watu wa madukani wao huwa hawahusiki tena.
Kila kitu huwa kinakua chini ya transporter.
Kilichokuepo,
Ni huruma, busara na kuaminiana kwa nyie wote watatu (wewe,transport na muuzaji) ndo ilitakiwa ifanyike kuliweka sawa.
Inaonekana,
Ulimuwakia muuzaji juu juu Naye akakujibu juu juu, tra nao wakaona hueleweki utengenezi mazingira wakakulima tu FAINI usiwapotezee muda.
UNAONEKANA UNA MIHEMKO SANA MTOA MADA.
Anajifanya mzalendo baada njia ya Mkato kubuma.ulitaka bila efd kupata urahisi, sasa imekua ghali, naona unamwaga mboga kwa nguvu
Sijapewa mkuu.jamaa mwanzo walikua wanataka 4m vinginevyo wanataifisha mzigo.ndio tukashushana hadi 1.5.Aisee mbona ni kama ulichezewa Mchezo Mkuu? Aidha Mchina au Transporter kuna mmoja alikuchoma.. Hasa Transporter ndo nna mashaka naye zaidi
Hiyo Fine ya 1.5mil ulipewa Risiti yake?
Huo ni uhuni tu. Nina wateja wa mikoani huwa naweka risiti zao za efd ndani ya mzigo. Kama ikitokea tra wakauliza nawaambia risiti iko ndani ya boksi wafungue.Nchi nzima, Kariakoo nzima.
Siku zote Mzigo wa duka ukishafika transport watu wa madukani wao huwa hawahusiki tena.
Kila kitu huwa kinakua chini ya transporter.
Kilichokuepo,
Ni huruma, busara na kuaminiana kwa nyie wote watatu (wewe,transport na muuzaji) ndo ilitakiwa ifanyike kuliweka sawa.
Inaonekana,
Ulimuwakia muuzaji juu juu Naye akakujibu juu juu, tra nao wakaona hueleweki utengenezi mazingira wakakulima tu FAINI usiwapotezee muda.
UNAONEKANA UNA MIHEMKO SANA MTOA MADA.
Sasa mbona unatoa siri zenu?Mkuu,
Biashara za JUMLA sikU zote Lazima magumashi ni kawaida yawepo ili upate faida.
Laiti
Uyo mchina angekuuzia Bei halali ya efd sidhan Kama ungemudu kununua.
Ebu kua Kama mfayabishara bhana.
Na nakwambia Kama Kuna washkaji zako walikuunganisha ilo chimbo afu wakajua una asili ya usnitchi.
Siku nyingine huonyeshwi machimbo, Afu mwisho wa sikU utafichwa Kwenye soko ufilisike
Tumia Akili mkuu, usiendeshwe na mihemko.
Kwa mfanyabiashara mzoefu.sasa ulipoona kwa hao wauzaji wapya unapewa maelekezo tofauti ulitakiwa ushtuke na ujiongeze,Mjini janja janja nyingi
Nishanunua matairi hapo ROADCRUZA kwa akaunti ya mtu mwingine na walinipa risiti ya efd.Mimi ni mjasirilismali,nina duka la matairi ya magari huku Mwanza.
Nilielekezwa kwenye hiyo kampuni tajwa hapo juu kuwa wanauza matairi ya jumla,basi nikafunga safari mpaka dar nikawatafuta mpaka ofisini kwao,ofisi zao ziko mikocheni sehemu inaitwa njia panda ya mawaziri.
Nilivyofika nikaandika order yangu nikalipia wakanipa risiti ya malipo tu,wakaniambia mzigo wangu wataupeleka wenyewe kwa transporter wangu na documents zote watampa transporter,nami sikuona ni tatizo kwani documents zinatakiwa ziambatane na mzigo njiani ili kuepuka usumbufu.
Kweli mzigo walipeleka kwa transporter lakini bila documents zozote, na mbaya zaidi siku hiyo TRA walikuwa na ukaguzi maeneo hayo ya Ilala hivyo mzigo wangu ukakamatwa na TRA, transporter akanijulisha hilo suala,nikawapigia wahusika kwa kutumia hizi number 0713174... na 0763235... ili kujua kulikoni. Hiyo number ya kwanza ni ya mtu niliyeambiwa anaitwa Sylvester Katambi ndiye meneja wa hiyo kampuni,huyo jamaa baada ya kumueleza shida yangu alichonijibu ni kuwa wao mzigo ukishafika kwa transporter hauwahusu tena na ana majibu mabaya sana utadhani sio Mtanzania. Sasa TRA wamenipiga fine ya 1.5m kwa makosa yaliyosababishwa na hao wapuuzi.
Nimejaribu kufanya uchunguzi kwa baadhi ya jamaa zangu Kariakoo kuhusiana na hii kampuni,wengi wanasema hawa jamaa ndiyo michezo yao hiyo,hawatoi risiti kwa wateja na mzigo ukikamatwa wao hawakusaidii chochote.
Wito wangu kwa TRA ifuatilieni hii kampuni kwa ukaribu muwachukulie hatua za kinidhamu kwa sababu wanafanya biashara za kihuni.
Nimeambatanisha risiti ya malipo waliyoniandikia ofisini kwao kama ushahidi.
View attachment 2032318
Wachina hawana tofauti na Magabacholi. Wengi wanafanya Biashara za maghumashiWachina wazushi mwanzo mwisho
Ila nyie si mnasema ni marafiki zenu wa ukweli
Ova
Mimi Mara zote nilizokamatwa watu wa madukani huwa wanatoa ushirikiano.Huo ni uhuni tu. Nina wateja wa mikoani huwa naweka risiti zao za efd ndani ya mzigo. Kama ikitokea tra wakauliza nawaambia risiti iko ndani ya boksi wafungue.
Kwanini wa dukani asihusike na yeye ndio kauza mzigo? Kama kampa risiti rekodi zipo anaweza kutoa uthibitisho. Ni ujanja ujanja tu pande zote.
Kwa hiyo na yeye ni mwizi siyo? Nimekupata kuwa wote walishiriki kukwepa kulipa kodi.Kwa mfanyabiashara mzoefu.
Maelekezo aliyopewa mtoa mada Ni maelekezo common Sana kwa biashara za jumla kusafirisha mikoani.
Hamna kigeni wala janja janja pale.
Labda atwambie mtoa mada Ndo alikua anaanza biashara sikU iyo.
Hizo ajali Sio yeye TU,
Zimetukuta wengi Sana.
Ila the way unavyohandle ile situation, Ndo the way itaamua hatma yako khs mzgo husika.
Yaani Itoshe kusema TU,
Mtoa mada Ni mshamba,
afu limbukeni,
afu ana kiroho Cha kwanini.
Yaani kile kiroho Cha kimaskini.
Kile kiroho Cha Bora tukose wote.
Mtoa mada Ndo Aina ile ya watu enzi zile primary mmenda kuiba miwa ya babu,
Afu akakamatwa yeye tu Kisha akataja kua nilikua na flani na flani na flani.
Yaani anaona Ni furaha Sana mharibikiwe wote.
UYU JAMAA MIYEYUSHO SANA[emoji3525]
Biashara za kibongo bongo bila maghumashi utoboi.Sasa mbona unatoa siri zenu?
Hapa ni kama wewe nae unawachoma wenzio,mbinu zenu zinafichuka.
Mtoa mada anajua anachokifanya,Kwa hiyo na yeye ni mwizi siyo? Nimekupata kuwa wote walishiriki kukwepa kulipa kodi.
Nnachokiongea Wala Sio kigeni,Sasa mbona unatoa siri zenu?
Hapa ni kama wewe nae unawachoma wenzio,mbinu zenu zinafichuka.
Mkuu,Ndugu,ukisoma maelezo yangu,mimi nimelipia full price nikiwa nahitaji documents zangu zote ili kuepusha usumbufu, kungekua na maelewano mengine wala hata nisingejisumbua kuleta huu uzi humu jf.na mbaya zaidi huyo Sylvester Katambi sijui ndio meneja wao ana mdomo mchafu balaa,hana customer care nzuri, hajataka kunielewesha vizuri yeye kaniachia msala.mpaka nimehisi huenda yeye ndiye amenifanyia huo uhuni.