TRA: Hatukumtuma Sabaya kukusanya kodi

Kamishmina wa TRA ni mteule wa Rais na ndiyo mwenye mamlaka wa ya kukusanya kodi na si mtu mwingine, hata rais hana mamlaka hiyo kama aliagizwa na mamlaka ya uteuzi hilo ni kosa kisheria
 
Kamishmina wa TRA ni mteule wa Rais na ndiyo mwenye mamlaka wa ya kukusanya kodi na si mtu mwingine, hata rais hana mamlaka hiyo kama aliagizwa na mamlaka ya uteuzi hilo ni kosa kisheria
Ni kama ambavyo rais anaweza kuteuwa mbunge katika nafasi zake kumi, LAKINI AKISHAMTEUWA, HAWEZI KUMTENGUA TENA LABDA MWENYEWE AJIUZURU AU AFE
 
Mawakili wa Sabaya bila shaka watawaburuza kortini mama Samia na bwana Isidory Nzabayanga Ntizobangizwa Mpango wakamtete Sabaya

Ila hawataenda maana wanajua kibao kitawageukia kwani kimsingi hawana mamlaka kisheria kuagiza hizo task force za kinyang’anyi nyuma ya pazia.
 

Huyu jamaa kama amepata hukumu nyepesi ni miaka 30 straight! Huyu mpaka kabaka
 
General Mo Power

Safari Hii atajamba Moshi na hali Kuni

Atajuta kujitia ujuaji tukisemaga Hii nchi Ina wenyewe hata Huwa hamtuelewi siasa za bongo Bora uwe vuguvugu kuliko kujitia mjuaji watakunyoosha!
 
Sheria inasemaje

sheria na katiba zinasema Rais akikwambia nakuhitaji kwa wiki moja ondoka kwenye kituo chako cha kazi TANROADS Mbeya nenda kakague mashamba ya Korosho Mtwara unakwenda.

Na Sabaya alitumwa D’Salaam kufuatilia fedha bandia akaja na tukamwona.

TRA is horrendously corrupt, TRA inanuka rushwa, ndo maana Rais alimtuma outsider. TRA lazima wamtose Sabaya kwa sababu hawapendi operators wengine wapewe kazi yao, haiwajengei picha nzuri.
 
Upo sawa ila unapopewa kazi kinyume na katiba na sheria tulizojiwekea kama nchi tafsiri yake ni kuwa wewe ni CHAMBO endapo lolote litatokea.
 
TASO, nchi inaongozwa na katiba na raisi ana kazi yake, Fuatilia kiapo cha raisi utaelewa na kujua ni kwann yeye ana kinga ila watendaji hawana.

Ikitokea umeamua kuyatelekeza maagizo kinyume na katiba aliyoapa kuilinda na kuitetea aliyekuagiza wewe ni CHAMBO kubali lolote litakalokukuta.
 
TRA walikua wapi na kwanini hawakumchukulia hatua huyu mtu🖕🖕inamaana wote ni wahusika waminywe tupate ukweri
Hyo hela aseme baada ya kukusanya aliipeleka wapi💤💤aliyepokea atupwe ndani
Hatua kwa hatua
Tumalize mafisadi
 
Mwenye mamlaka ya kuunda kikosi kwa shughuri hiyo ni kamishna wa TRA... FULL STOP
Hata kama alitumwa na Rais wa kipindi hicho bado hio amri ya kumtaka afanye hivyo ni ultra vires thus null and void
 

Katiba na Sheria hazisemi kwamba unaweza kutumwa lolote lile na mkuu wa nchi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…