Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Kamishmina wa TRA ni mteule wa Rais na ndiyo mwenye mamlaka wa ya kukusanya kodi na si mtu mwingine, hata rais hana mamlaka hiyo kama aliagizwa na mamlaka ya uteuzi hilo ni kosa kisheriaTRA haikuwa mamlaka ya uteuzi ya Lengai Ole Sabaya
Mamlaka ya juu ilikuwa inajua na ilibariki operesheni hiyo
Waziri wa fedha wa wakati huo alikuwa anajua na kubariki zoezi zima
Gavana wa benki kuu alikuwa anafahamu na alitambua kazi nzuri kwa kumpongeza hadharani (In a televised record)
Kama hakutumwa na makusanyo alifanya na kukabidhi ama mamlaka iliyomtuma au hazina kwanini walizipokea?
Mashahidi wanatakiwa kuongezeka (waziri wa fedha na mipango wa wakati huo) ( gavana wa benki kuu), (katibu mkuu hazina na mlipaji mkuu wa serikali), kiongozi wa wilaya au mkoa husika zoezi lilikofanyikia walikuwa na taarifa na hawakuzuia.
Hata mamlaka iliyopo sasa ilikuwa na taarifa lakini hakuna hata mmoja aliyetoa notisi ya kujiuzulu kwa kutoridhika na operesheni iliyokuwa inafanyika.
Huyo kijana Lengai Ole Sabaya aachiwe samba na Freeman Aikaeli Mbowe WAACHIWE wote maana kesi zao zimegubikwa na chuki za kisiasa