The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Hii kesi imekaa kushoto kulia.
Aliposema mamlaka kutoka juu ndipo alipochokoza huenda na mamlaka kutoka juu itamuhukumu, kwani mamlaka ile iliyomtuma ndio hii hii sasa ipo juu na utofauti ni nafasi walizonazo kwa sasa.
Ubaya wa sabaya sio kutekeleza maagizo kutoka juu bali alivuka mipaka yake ya kazi hata kama ni kutumwa angeliweka utu pia ingeleta maana ila yeye akazidisha na yake pia.
Ubaya wa sabaya alidharau hata mamlaka husika (TRA) akajitwalia nafasi hiyo angelikuala nao (kwenda tra kuchukua maafisa wawili kwa ushahidi wa kinafki tu)
Ubaya sio kutumwa ubaya ni namna ya kuyafanya uliyotumwa ni wengi walitumwa ila mbona yeye ndio anasota pekee yake?. Kuna mengine alijituma kama kubaka (kwa mujibu wa mashahidi, kupora mali, kuteka watu ili wampe pesa) haya nadhani alizidisha kwa uchu wa mali na kulewa madaraka.