TRA: Hatukumtuma Sabaya kukusanya kodi

TRA: Hatukumtuma Sabaya kukusanya kodi

Hii kesi imekaa kushoto kulia.
Aliposema mamlaka kutoka juu ndipo alipochokoza huenda na mamlaka kutoka juu itamuhukumu, kwani mamlaka ile iliyomtuma ndio hii hii sasa ipo juu na utofauti ni nafasi walizonazo kwa sasa.

Ubaya wa sabaya sio kutekeleza maagizo kutoka juu bali alivuka mipaka yake ya kazi hata kama ni kutumwa angeliweka utu pia ingeleta maana ila yeye akazidisha na yake pia.
Ubaya wa sabaya alidharau hata mamlaka husika (TRA) akajitwalia nafasi hiyo angelikuala nao (kwenda tra kuchukua maafisa wawili kwa ushahidi wa kinafki tu)

Ubaya sio kutumwa ubaya ni namna ya kuyafanya uliyotumwa ni wengi walitumwa ila mbona yeye ndio anasota pekee yake?. Kuna mengine alijituma kama kubaka (kwa mujibu wa mashahidi, kupora mali, kuteka watu ili wampe pesa) haya nadhani alizidisha kwa uchu wa mali na kulewa madaraka.
 
KAIMU Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Arusha, Kayobio Majogoro(41), ameieleza mahakama kwamba ofisi yake haikuwa na taarifa kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya, kuongoza kikosi kazi maalumu kwenda kukusanya kodi katika Jiji la Arusha.

Akiongozwa kutoa ushahidi wake na wakili wa Serikali mwandamizi, Ofmed Mtenga mbele ya hakimu mkazi, Patrisia Kisinda shahidi huyo amedai kuwa kwa mujibu wa sheria mwenye mamlaka ya kuunda kikosi kazi maalum ni kamishna mkuu wa TRA. Ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa mkuu wa wilaya hawezi kuwa na jukumu la kukusanya kodi.

Katika shauri hilo la uhujumu namba 27,2021, washtakiwa wengine ni Enock Mnkeni, Watson Mwahomange, John Aweyo, Sylvester Nyegu, Jackson Macha na Nathan Msuya.

Chanzo: Nipashe

Kama TRA walipokea kodi iliyokusanywa na Sabaya, by estoppel, hawapaswi kudai kwamba hawakumtuma!
 
Yeye amesema alitumwa na mamlaka ya juu,hata Makamu wa Rais wa sasa anajua!Inabidi Dr Mpango naye aitwe kizimbani!
Na alipokamata noti bandia alitumwa na nani? Dc si ni muwakilishi wa rais wilayani? Ina maana mamlaka ya serikali kuu wilayani anasimamia yeye. Haikubaliki hangaya kumtosa sabaya kafara kuwafurahisha wapinga maendeleo na fisadi.
 
Hata kama alitumwa na Rais wa kipindi hicho bado hio amri ya kumtaka afanye hivyo ni ultra vires thus null and void
1. Beyond the powers of who?
2. Why should it be unlawful if he was vested with the powers of the authority?
3. Where were the TRA officials when the crackdown operation was taking place?
4. Who challenged the accused during the facilitation and implementation of the operation to account for what he was doing?
5. When did the crackdown operation took place?
6. Is the accused was a public servant or government official?
7. Who employed the accused in the public or government office?
8. To whom the accused was directly reporting in pursuit of daily discharge of the public or government functions?
9. Was there any intervention by the appointing authority at the time the operation was taking place?
10. Did the accused complied with the order to stop the implementation of the operation in a manner that undermined the government or public officials' ethics?
11. Was there any complaint raised by the immediate line leader to the appointing authority on the misconduct by his/her subordinate?
12. Does the district commissioner directly reports to the regional commissioner or regional administrative secretary?
13. Was the responsible minister for regional and local government (TAMISEMI) aware of the alleged office abuse by the accused?
14. What action did the TAMISEMI minister and permanent secretary take to mitigate the negative impact caused by the accused while discharging his rogue operation?
15. Was the TRA executive director aware of the clampdown?
16. Was the finance and planning minister aware of the arbitrary tax collection conducted by the accused?
17. What reaction action did he enforce to prevent the controversial operation?
18. How much was collected by the accused through arbitrarily and rogue operations?
19. Was there any return retired to the treasury to corroborate the effectiveness of the controversial tax collection operation?
20. Is there any retrievable record at the ministry of finance/planning and treasury to support the retirement return?
21. Which law enforcement instrument accompanied the accused to practice the tax collect crackdown campaign?
22. Was the state intelligence security agency aware of the operation?
23. Why the accused was not charged with the felony when the appointing authority was still in power?
24. Why the accused was charged with the alleged felony immediately after the pass-away of the late JPM whose accusers were part of his government team?
25. What are the negative effects on political, economic, social, security, and international relations by trying a subordinate who you assigned to perform what is being complained of this time around?
26. Were the other leaders within the jurisdiction area the alleged felony was committed aware of the unlawful tax collection operation led by the accused?
27. If the accused managed to achieve the target scorecard efficiently and effectively without being timely spotted, how vulnerable is Tanzania's security protection is exposed to both internal and external intelligence espionage threats?

* The heart of the nation needs to decode the patterns for safety....
 
Hakuna video iliyowahi kuonyesha Sabaya alikuwa na maofisa wa TRA kwenye hii ujangili wake ambao ndio msingi wa kesi rather walikuwa no wahuni ambao hata sio watumiaji wa serikali na ndio hao ameshtakiwa nao.

Hebu jiulize mbona dereva wake hajashtakiwa au kuunganishwa na Sabaya ingali alikuwa kwenye hiyo kampeni bubu?

Huyo bwana Hana pa kushika maana aliyemshikilia kamba imekatika watu walikuwa wanamsubiria tu kamba ikatike.

Mwenzie Makonda alipoa mapema maana nae angekuwa ananyea debe kama angeendelea upuuzi wake
Hapa ndio umeeleweka kwamba kwa kuwa TRA hamkushirikishwa na kujumuishwa kwenye operesheni lakini kilichopatina mkakipokea imekuwa NONGWA....mnaoshitaki kwa sasa mnajulikana kwamba ni TRA kwa kuwa kama mngefanya ninyi mngetia mfukoni
 
Kufanya, kutumwa, kukusanya, kukabidhi, kupongezwa hakuondoi ukweli kwamba mwenye mamlaka ya hayo ni TRA na kuna utaratibu maalumu ikiwa wataona Sabaya anafaa kufanya majukumu ya TRA basi angepewa kibali.

Acheni kutetea masuala kwa kuangalia nafasi ya mtu kwenye Serikali, tuangalie sheria na kanuni zinaeleza nini. Nchi haiendeshwi na matamko, pongezi za Rais, Makamu, Gavana au Waziri wa fedha.
Kwanini hawakuingilia kati na kuzuia badala yake walimpongeza hadharani na leo wanamkana?
 
Umeshaambiwa mwenye mamlaka ya kuunda kikosi maalumu ni Kamishna Mkuu wa TRA! Sasa miongoni mwa hao uliowataja, Kamishna Mkuu wa TRA ni yupi?!

Kumbe huna hata uhakika makusanyo aliyapeleka wapi!! How come tena unahoji "kwanini walizipokea"? Una uhakika hizo pesa alizifikisha kwenye mamlaka husika ambako ni TRA?!
Wewe una uhakika gani hakufikisha?

Kwanini kama hakufikisha hawakumdai haraka baada ya kuzichukua maana operesheni nyingi zilioneshwa kwenye Runinga?
 
Huyo saa baya aoneshe barua yakutumwa kazi arusha huku kituo chake chakazi ni hai asisingizie marehemu . Anamuiga babake aliyowafanyia watu Serengeti!!!
Ahukumiwe chapu tushachoka kumskiliza. Tunajua hukumu itapozwa maana nikijana watumboni...
kwanini hajapelekwa mahakama ya mafisadi? Ili mumhukumu kudeki korido za MT. Meru hospitalI sio...
 
Na alipokamata noti bandia alitumwa na nani? Dc si ni muwakilishi wa rais wilayani? Ina maana mamlaka ya serikali kuu wilayani anasimamia yeye. Haikubaliki hangaya kumtosa sabaya kafara kuwafurahisha wapinga maendeleo na fisadi.

Hizo noti bandia alizikamatia kwenye eneo lake la utawala?
 
TRA haikuwa mamlaka ya uteuzi ya Lengai Ole Sabaya.

Mamlaka ya juu ilikuwa inajua na ilibariki operesheni hiyo.

Waziri wa fedha wa wakati huo alikuwa anajua na kubariki zoezi zima.

Gavana wa benki kuu alikuwa anafahamu na alitambua kazi nzuri kwa kumpongeza hadharani (In a televised record).

Kama hakutumwa na makusanyo alifanya na kukabidhi ama mamlaka iliyomtuma au hazina kwanini walizipokea?

Mashahidi wanatakiwa kuongezeka (waziri wa fedha na mipango wa wakati huo) ( gavana wa benki kuu), (katibu mkuu hazina na mlipaji mkuu wa serikali), kiongozi wa wilaya au mkoa husika zoezi lilikofanyikia walikuwa na taarifa na hawakuzuia.

Hata mamlaka iliyopo sasa ilikuwa na taarifa lakini hakuna hata mmoja aliyetoa notisi ya kujiuzulu kwa kutoridhika na operesheni iliyokuwa inafanyika.

Huyo kijana Lengai Ole Sabaya aachiwe samba na Freeman Aikaeli Mbowe WAACHIWE wote maana kesi zao zimegubikwa na chuki za kisiasa
Chief kazi serikali hazifanyiki hivyo.
 
Wewe una uhakika gani hakufikisha?

Kwanini kama hakufikisha hawakumdai haraka baada ya kuzichukua maana operesheni nyingi zilioneshwa kwenye Runinga?
Wangemdai haraka akina nani wakati umeshaambiwa mwenye mamlaka ya kuunda Task Force ni Kamishna Mkuu wa TRA, na wao hawakumtuma?!
 
1. Beyond the powers of who?
2. Why should it be unlawful if he was vested with the powers of the authority?
3. Where were the TRA officials when the crackdown operation was taking place?
4. Who challenged the accused during the facilitation and implementation of the operation to account for what he was doing?
5. When did the crackdown operation took place?
6. Is the accused was a public servant or government official?
7. Who employed the accused in the public or government office?
8. To whom the accused was directly reporting in pursuit of daily discharge of the public or government functions?
9. Was there any intervention by the appointing authority at the time the operation was taking place?
10. Did the accused complied with the order to stop the implementation of the operation in a manner that undermined the government or public officials' ethics?
11. Was there any complaint raised by the immediate line leader to the appointing authority on the misconduct by his/her subordinate?
12. Does the district commissioner directly reports to the regional commissioner or regional administrative secretary?
13. Was the responsible minister for regional and local government (TAMISEMI) aware of the alleged office abuse by the accused?
14. What action did the TAMISEMI minister and permanent secretary take to mitigate the negative impact caused by the accused while discharging his rogue operation?
15. Was the TRA executive director aware of the clampdown?
16. Was the finance and planning minister aware of the arbitrary tax collection conducted by the accused?
17. What reaction action did he enforce to prevent the controversial operation?
18. How much was collected by the accused through arbitrarily and rogue operations?
19. Was there any return retired to the treasury to corroborate the effectiveness of the controversial tax collection operation?
20. Is there any retrievable record at the ministry of finance/planning and treasury to support the retirement return?
21. Which law enforcement instrument accompanied the accused to practice the tax collect crackdown campaign?
22. Was the state intelligence security agency aware of the operation?
23. Why the accused was not charged with the felony when the appointing authority was still in power?
24. Why the accused was charged with the alleged felony immediately after the pass-away of the late JPM whose accusers were part of his government team?
25. What are the negative effects on political, economic, social, security, and international relations by trying a subordinate who you assigned to perform what is being complained of this time around?
26. Were the other leaders within the jurisdiction area the alleged felony was committed aware of the unlawful tax collection operation led by the accused?
27. If the accused managed to achieve the target scorecard efficiently and effectively without being timely spotted, how vulnerable is Tanzania's security protection is exposed to both internal and external intelligence espionage threats?

* The heart of the nation needs to decode the patterns for safety....
Acha kujaza seva kwa kuuliza maswali ya kijinga yenye nia ya kuhalalisha ujambazi na wizi.
 
TRA haikuwa mamlaka ya uteuzi ya Lengai Ole Sabaya.

Mamlaka ya juu ilikuwa inajua na ilibariki operesheni hiyo.

Waziri wa fedha wa wakati huo alikuwa anajua na kubariki zoezi zima.

Gavana wa benki kuu alikuwa anafahamu na alitambua kazi nzuri kwa kumpongeza hadharani (In a televised record).

Kama hakutumwa na makusanyo alifanya na kukabidhi ama mamlaka iliyomtuma au hazina kwanini walizipokea?

Mashahidi wanatakiwa kuongezeka (waziri wa fedha na mipango wa wakati huo) ( gavana wa benki kuu), (katibu mkuu hazina na mlipaji mkuu wa serikali), kiongozi wa wilaya au mkoa husika zoezi lilikofanyikia walikuwa na taarifa na hawakuzuia.

Hata mamlaka iliyopo sasa ilikuwa na taarifa lakini hakuna hata mmoja aliyetoa notisi ya kujiuzulu kwa kutoridhika na operesheni iliyokuwa inafanyika.

Huyo kijana Lengai Ole Sabaya aachiwe samba na Freeman Aikaeli Mbowe WAACHIWE wote maana kesi zao zimegubikwa na chuki za kisiasa
Sabaya ni mvua 30 tu! Kisha parole itampunguzia adhabu baada ya miaka 7 hivi!
 
Utetezi mfu. Umeambiwa mwenye mamlaka ya kuunda kikosi kazi ni Mkurugenzi mkuu was TRA, kwa Sasa ni kutafsiri sheria tu hakuna Cha kutumwa. Shule ulienda kusomea ujinga?

Katoe ushahidi mahakamani.
 
Back
Top Bottom