If function ni ka kitu kadogo kwenye ulimwengu wa software. Kuna function heavy kuliko hizo. Kuna predective functions..kuna function zinafanya hesabu heavy..
It all about ku feed right data to computer then yenyewe intafanya mahesabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma kwa Umakini
'Hakuna Na haitokuja kupatikana software ya ku pre determine Profit, Profit inayotozwa kodi Ni halisi sio ya Makisio'
Kama kupata software Za ku feed data Baada ya kumaliza operations ili kupata Taxable Profits zipo nyingi Sana hazihesabiki