TRA hawana Formula au Software ya kukadiria kodi?

TRA hawana Formula au Software ya kukadiria kodi?

If function ni ka kitu kadogo kwenye ulimwengu wa software. Kuna function heavy kuliko hizo. Kuna predective functions..kuna function zinafanya hesabu heavy..
It all about ku feed right data to computer then yenyewe intafanya mahesabu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Soma kwa Umakini

'Hakuna Na haitokuja kupatikana software ya ku pre determine Profit, Profit inayotozwa kodi Ni halisi sio ya Makisio'

Kama kupata software Za ku feed data Baada ya kumaliza operations ili kupata Taxable Profits zipo nyingi Sana hazihesabiki
 
True but we are talking accounts in excel unachotaka kujua by the of end kwenye income statement biashara ina faida/hasara na kama kuna faida ni kiasi gani corporate tax. Ndio sababu ya kusema If function
 
Asante Mkuu hebu nidadavulie kwanini nikinunu a mtumba wa gari kodi inazidi mara mbili ya nei niliyonunulia gari?? wakati gari ni bidhaa wala sijafanya biashara yoyote??
Kwenye gari TRA wameweka bei elekezi ya kila gari(CIF). Kutokana na hio bei ndio calculator yao inatoa bei ya ushuru. Sababu ni kuwa gari hio hio used kila MTU anakuja na bei yake hivyo kutoa mwanya Kwa watu hata maofisa kucheza na kodi.
NB:Hata mimi ni mhanga wa kulipa kodi mara mbili ya CIF ya gari kisa CIF ya TRA
 
Hawa jamaa ni shida sana, wanakatisha tamaa mtu unayetaka kufanya biashara na kufuata taratibu na kanuni, makadirio ya kodi ni makubwa sana na ukilalama wanataka cha juu ili wakupunguzie,
Kingine kuna baadhi ya wilaya huko mikoani hakuna wafanyakazi wa kutosha unaweza kwenda zaidi ya mara 3 unaambiwa jamaa hayupo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe is about excel. Excel is very static app. Hainyumbuliki likija suala la mahesabu .
True but we are talking accounts in excel unachotaka kujua by the of end kwenye income statement biashara ina faida/hasara na kama kuna faida ni kiasi gani corporate tax. Ndio sababu ya kusema If function

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa sana kuzagaa kwa malalamiko ya wafanyabiashara kubambikiziwa kodi kubwa.

Wapo Maafisa wengi TRA wasio waaminifu, wanakadiria kodi kubwa, --baadae wanakuja mlango wa nyuma kuomba Rushwa ili wapunguze makadirio.

Ni ngumu sana TAKUKURU kuwanasa maana wafanyabiashara wanaogopa kuwa, wakifichua hii tabia, TRA watafanya uhasama na huyo mfanyabiashara na kulipa kisasi...

Kwa nini Ma IT wa Tanzania au MaEngineer wasije na Software au App ya kukadiria Kodi?

Mfano..APP au Soft ware..Unaingiza Mtaji, unaingiza Mzunguko Mauzo, unaingiza total profit --then Inatoa jibu la Kodi inayotakiwa kulipa
Mkuu issue sio software tu unatakiwa mfumo ambao unafavor pande zote mbili,mara nyng serkali ndio chanzo kikubwa kutengeneza mifumo mibovu ya kuwafavour wao,mathalan saiz wanakadiria kwa kuangalia turnover kwenye EFDs jambo ambalo linamuumiza mfanya biashara kwa sabab hiz mashine hazitambui other cost of busnez mfano kod za pango na other running cost hvy wamewapa maafisa kutumia ubinadam wao jambo linalopelekea rushwa.
 
Why not ? We can determine profit hata kuas kodi itaoyotozwa. It all about math.
Ila changamoto itakuja ni kuwa values kama hizo always zina change... not static kutokana na mapato halis.
ila it is not impossible...
Pronlem is tra watakubali kuwa replaced na mfumo huo.. maana huu wa sasa una loop holes nyingi.ikiwamo kuomba rushwa
Soma kwa Umakini

'Hakuna Na haitokuja kupatikana software ya ku pre determine Profit, Profit inayotozwa kodi Ni halisi sio ya Makisio'

Kama kupata software Za ku feed data Baada ya kumaliza operations ili kupata Taxable Profits zipo nyingi Sana hazihesabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U have a point. So what will be the solution?
Mkuu issue sio software tu unatakiwa mfumo ambao unafavor pande zote mbili,mara nyng serkali ndio chanzo kikubwa kutengeneza mifumo mibovu ya kuwafavour wao,mathalan saiz wanakadiria kwa kuangalia turnover kwenye EFDs jambo ambalo linamuumiza mfanya biashara kwa sabab hiz mashine hazitambui other cost of busnez mfano kod za pango na other running cost hvy wamewapa maafisa kutumia ubinadam wao jambo linalopelekea rushwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari unalonunua kutoka nje unapata invoice kutoka kwa muuzaji ambaye unaweza ku collude nae na kuweka value ndogo ili ulipe kodi kidogo. Ndio maana nchi nyingi zimeweka standards ili kupunguza ukwepaji kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan si wangeweza kuangalia hata bank transfer ya hiyo invoice waone kama zinafanana? ,, let's say nimenunua Gari naonesha Tra invoice pamoja na statement ya benki ikionesha kiwango kilichotumwa si ingesaidia,?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa sana- TRA wanapuuza kauli ya Rais au nini kinaendelea?

https://www.ippmedia.com/sw/habari/jpm-ataka-tra-itoze-watu-kodi-inayolipika

Kauli ingine ya RAIS ni kuhusu mafao

FAO LA KUJITOA - limerejeshwa?

Duh, hapa watendaji wanamuangusha raisi, Wafanyakazi wa UMMA wako salary oriented tu, hawajui shida za wananchi

Angalia Mfano mwingine, Ng'ombe kwenda Zanzibar anatozwa kodi 35,000 (Kama kwenda Kenya) badala ya 7500

Hii nchi buanaa
Sio kweli kua watendaji wanamuangusha Rais TRA wanafanya kazi kwatumia sheri mbovu zilizopo na sio matamko na porojo za ccm majukwaani Ukimsikiliza vizuri Rais utaelewa vizuri Sijawahi kusikia akimtaka waziri apeleke malekebisho ya sheria bungeni ili kuondoa sheria zinasababisha kero kwenye nfumo wa kodi,Stegemei kama TRA wanaweza kuboresha mifumo yao yakipigaji kwasababu nyingi sana ikiwemo Serekali inafaidika na mifumo hii ya kipigaji kisha wanajifanya kuchukizwa na kero hizo wanazozitenegeza wenyewe, Bila kuondoa chama chakavu fisimu nisawa na kucheka na nyani ukitegema upate mavuno shambani .
 
Kama tunazumgumzia biashara tatizo la msingi ni kutokuwa na risiti zako (ziwe za mauzo, manunuzi, matumizi mengine au gharama za biashara) risiti zote hizo ukiwa nazo wakati wanakuja kudai kodi na kama umetumia accountant kukufanyia hesabu zako TRA awawezi kukukadiria kodi ya ajabu.

Kinachoitajika ni independent accountants kujaza gap kwa wafanyabiashara wasioweza kuajiri professional on full time, vinginevyo wao wenyewe wajifunze accounts au haya malalamiko ayatoisha miaka 800.
 
Lakini hata ukinunu gari jipya bado ushuru wake unadiscourage sana, ndio kusema serikali yetu haitaki tumiliki magari mazuri?? Au tunatengeneza ya kwetu ili wajapani wasituharibie soko, ubavu huo tunao??
Kwaupande wa custom kunamataizo makubwa jamaa wanapiga hella ndefu kuzi makampuni yanayotengeza bidhaa huko nje kama serekali inachukua hella nyingi kuzidi Totoya na Mitsubishi na mamkampuni mengine yanatengeneza magari na bidhaa mbalimbali kunasabugani ya Viwanda hapa nchini?
 
Mbona sheria ziko wazi kama mlipakodi amebambikiwa kodi sheria inamruhusu ku object ndani ya siku 30 ?
Baada ya kulipa 1/3 ya kodi iliyo kwenye mgogoro (dispute)!

Na kuna mazingira pia yakitokea hata hiyo 1/3 anaweza asilipe na akasikilizwa shauri lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari unalonunua kutoka nje unapata invoice kutoka kwa muuzaji ambaye unaweza ku collude nae na kuweka value ndogo ili ulipe kodi kidogo. Ndio maana nchi nyingi zimeweka standards ili kupunguza ukwepaji kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama ni hivyo basi wanakosea sana!
Hii imekuwa ikiumiza sana wananchi kwa hizo assumptions ambazo haziwezi ku hold kabisa!

Gari inaonekana kabisa kwenye mitandao na bei ipo quoted kama ni trade carview n.k

Hakuna colusion yoyote inayoweza kufanyika siku hizi kwenye manunuzi ya magari nje ya nchi hasa Japan!

Imekuwa ikiumiza sana, mtu sincerely amenunua gari dola 2000 kwa mfano akija bongo anaambiwa hiyo gari thamani yake dola 5,000/- hebu fikiria inaumiza kiasi gani?
Na huyo mtu huwa analaani sana kitendo cha namna hiyo

kwa kweli tuna mifumo.ya hovyo sana ya kodi. Gari unanunua Dollar 1000, ikifika Bandarini inavalue dollar 3000, na humo ndimo zinakatwa pesa kibao hadi RAilway revy. Yaani mtu mweusi ni mtu wa hovyo sana.
 
Kwaupande wa custom kunamataizo makubwa jamaa wanapiga hella ndefu kuzi makampuni yanayotengeza bidhaa huko nje kama serekali inachukua hella nyingi kuzidi Totoya na Mitsubishi na mamkampuni mengine yanatengeneza magari na bidhaa mbalimbali kunasabugani ya Viwanda hapa nchini?
Wanathaminisha gari kwa assumption kwamba huenda muuzaji kakuuzia bei ya chini ili.ulipe kodi ndogo....hakuna kitu kama hicho.

Thamani ya gari anaijua muuzji na mtengenezaji.
 
Hakuna Soft Dunia nzima ya ku determine corporate Tax

Kodi ya Mapato itokanayo Na Biashara huwezi ku pre determine Bali unaweza kukadiria then kadri Biashara inavyoendelea utajua level ya Biashara

Hata Baada ya kumaliza operations zako unapewa Muda wa Takriban Miezi mitatu kuweka sawa hesabu zako then unakagua hesabu zako Mwishowe unapata hesabu kamili

Zipo baadhi ya kodi ambazo unaweza ku pre determine mfano kodi ya ku import Magari Lakin Kwenye Biashara Hata Wewe Mwenyewe huwezi kujua level ya Biashara yako mpaka December wakati upo January

Pia Msingi wa kodi sio tu kukusanya kodi

Zipo kodi zinatozwa Kwenye bidhaa kwa lengo la ku discourage Biashara husika

Mfano Mifuko ya Plastic inatozwa kodi ku discourage production sio kupata pato hivyo kodi yake inalingana Na thamani ya Mauzo
Hapana inawezekana. Anachosema ni kuwa kama mwaka umeisha. Umefanya hesabu zako badala ya kujaza fomu (returns) na kuzipeleka tra. Ujaze kwenye mtandao. Jinsi inavyojazwa sasa ijazwe hivyo hivyo kwenye mtandao. Kodi itakuja tu na utalipia, bila kuonana na mkadiriaji. Kimbembe kitakuja wakati wao wanakagua hizo taarifa uliźojaza kwenye mtandao.

Maelezo yako inajichanganya....

Hata Baada ya kumaliza operations zako unapewa Muda wa Takriban Miezi mitatu kuweka sawa hesabu zako then unakagua hesabu zako Mwishowe unapata hesabu kamili

JE MWISHOWE UKIJUA HESABU ZAKO, UNAFEED KWENYE APP AU SOFT WARE NA hesabu ya kodi inakuja

TRA lazima wapinge sana hili maana ulaji wao unakatwa
 
Hapana inawezekana. Anachosema ni kuwa kama mwaka umeisha. Umefanya hesabu zako badala ya kujaza fomu (returns) na kuzipeleka tra. Ujaze kwenye mtandao. Jinsi inavyojazwa sasa ijazwe hivyo hivyo kwenye mtandao. Kodi itakuja tu na utalipia, bila kuonana na mkadiriaji. Kimbembe kitakuja wakati wao wanakagua hizo taarifa uliźojaza kwenye mtandao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes, Ndugu umeelewa
 
Back
Top Bottom