Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Angalia hiyo plate number imechomekwa tu haijafungwa.. Hayo ni magari ya usalama hayana registration maalumView attachment 2409818View attachment 2409823
Mitaani kuna vituko vingi.
Kuna magari ya wasiojulikana wengi tu sasa hivi.
Lakini hii ni kiboko.
Gari T140ALF ina registration ya karibia miaka 20 nyuma kwa gari iliyotengenezwa 2022, LC300 Landcruiser New model.
Inakuwaje hapo?
Hahaa anapekenyua sana.kwanza yey ana shid gan na namba za magar.yey ni trafik?Ukiona hivyo usilisogelee, kaa mbali, hata traffic akiliona analiacha lipe mbali nae.
Na wangemuona angeisoma numberUkiona hivyo usilisogelee, kaa mbali, hata traffic akiliona analiacha lipe mbali nae.
Mkuu hili taifa letu na tusiishi kwa woga.Ukiona hivyo usilisogelee, kaa mbali, hata traffic akiliona analiacha lipe mbali nae.
Alafu ww shida yako ni maji, umeme, hospitali upate huduma nzuri, shule, barabara nzuri, kuwe na amani na usalama unapoishi, gharama za maisha zisipande sana na huduma nyingine muhimu za jamii, sio unakuwa busy kungalia plate numbers za magari barabarani, ushaingilia mambo ambayo hayakuhusu kabisa, hadi hapo ushaharibu, watakusaka shauri yako.
Mambo mengine ukiona yasiokuhusu achana nayo, piga kimya utaishi vizuri sana duniani.
Du na usalama huu ni wa nani?,wale wateule wachache wanaobugia pie yetu au wa mlala hoi?maana nchi imekua kichaka cha mafisadi na Ile tiss real imepotolea wapi?,ilikua inatuletea viongozi Safi waliokua vetted vema, hii ya sasa...ngoja ni makapukapu tuAngalia hiyo plate number imechomekwa tu haijafungwa.. Hayo ni magari ya usalama hayana registration maalum
Acha kuogopa vivuli vyako, simama na push back kwaoukiliona linakufwatilia we jisalimishe tuuu ama uwahi kituo cha polisi
Mkuu hata ukienda polisi haisaidii...ukiliona linakufwatilia we jisalimishe tuuu ama uwahi kituo cha polisi
Kizazi cha uoga wa mbwa koko, kipindi cha awamu ya kwanza kila raia alikua ni first line of defence wa nchi, kitu kisicho Sawa lazima unawataarifu wahusika, scout mwenzangu pale ilipokua kituo cha station, kwa mbele kulikua na petrol station, 'tourist 'alipotea njia na kumuuliza huyu rafiki yangu njia ya kwenda Kilomanjaro Hotel, rafiki yangu akamwelekeza akaulize lile jumba Jeupe lililo sambamba na kituo cha station, old school humu watalitambua lile jumba!,TISS ili EARN RESPECT kwa raia, hawajawahi kuwa tainted na mateso kwa raia, walikua very smart hawa jamaaHahaa anapekenyua sana.kwanza yey ana shid gan na namba za magar.yey ni trafik?
Vitu vingine awe anaacha haina maana ya kuleta uzi.siwez kuelezea zaidi
Asante mkuu kwa kuiona point.Du na usalama huu ni wa nani?,wale wateule wachache wanaobugia pie yetu au wa mlala hoi?maana nchi imekua kichaka cha mafisadi na Ile tiss real imepotolea wapi?,ilikua inatuletea viongozi Safi waliokua vetted vema, hii ya sasa...ngoja ni makapukapu tu
Haya yako mengi tu, hata majirani wanayabadilisha kila siku.View attachment 2409818View attachment 2409823
Mitaani kuna vituko vingi.
Kuna magari ya wasiojulikana wengi tu sasa hivi.
Lakini hii ni kiboko.
Gari T140ALF ina registration ya karibia miaka 20 nyuma kwa gari iliyotengenezwa 2022, LC300 Landcruiser New model.
Inakuwaje hapo?
Full Tint kali sana huoni mtuAngalia hiyo plate number imechomekwa tu haijafungwa.. Hayo ni magari ya usalama hayana registration maalum
Ila hiyo namba ni ya Ofisi ya Rais ukifatilia TRAAngalia hiyo plate number imechomekwa tu haijafungwa.. Hayo ni magari ya usalama hayana registration maalum
Tena wanavyopenda sifa, wangemuona anapiga picha kabisa hali ingekuwa si hali.Na wangemuona angeisoma number