masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Acha ushamba.Ukiona hivyo usilisogelee, kaa mbali, hata traffic akiliona analiacha lipite mbali nae.
Alafu ww shida yako ni maji, umeme, hospitali upate huduma nzuri, shule, barabara nzuri, kuwe na amani na usalama unapoishi, gharama za maisha zisipande sana na huduma nyingine muhimu za jamii, sio unakuwa busy kungalia plate numbers za magari barabarani, ushaingilia mambo ambayo hayakuhusu kabisa, hadi hapo ushaharibu, watakusaka shauri yako.
Mambo mengine ukiona yasiokuhusu achana nayo, piga kimya utaishi vizuri sana duniani.
Tukiona mtu anahujumu nchi tumezee tu alimradi haituhusu moja kwa moja?
Hata kama mnafundishwa hivyo hiyo ni nidhamu ya woga.