TRA, hii imekaaje? Gari ya 2022 na usajili wa miaka ya 2005?

gari ya kazi hiyo........tulia mkuu!!
Nakubaliana nawe mkuu.
Lakini katika kazi za secret service kunatakiwa kuwepo covert operations kwa kutumia hayo magari.
Usiri ni muhimu.
Kwa kutumia hizo number plates you are advertising yourselves, kama kupita mtaani na kuflash kitambulisho.
Mwisho hata advantage ya secrecy inapotea, na inabidi kutumia mabavu.
Sidhani kama mashirika kama MOSSAD, MI6 au CIA wanajitanua barabarani on everyday duties.
Ni maoni yangu tu, I may be wrong!
 
Nieleweshe gari inakuwaje upgraded?
images (6).jpeg
 
Nakubaliana nawe mkuu.
Lakini katika kazi za secret service kunatakiwa kuwepo covert operations kwa kutumia hayo magari.
Usiri ni muhimu.
Kwa kutumia hizo number plates you are advertising yourselves, kama kupita mtaani na kuflash kitambulisho.
Mwisho hata advantage ya secrecy inapotea, na inabidi kutumia mabavu.
Sidhani kama mashirika kama MOSSAD, MI6 au CIA wanajitanua barabarani on everyday duties.
Ni maoni yangu tu, I may be wrong!
Wanashangaza sana hasa bagamoyo road wanakera sana unakuta mpaka mpumbavu m1 ana GX100 sijui VITs vipo kama vichwa vya kuku kafunga taa na king'ora eti umpishe! Mara plate namba nyeusi mara chasses number ni wanakera vibaya mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana nawe mkuu.
Lakini katika kazi za secret service kunatakiwa kuwepo covert operations kwa kutumia hayo magari.
Usiri ni muhimu.
Kwa kutumia hizo number plates you are advertising yourselves, kama kupita mtaani na kuflash kitambulisho.
Mwisho hata advantage ya secrecy inapotea, na inabidi kutumia mabavu.
Sidhani kama mashirika kama MOSSAD, MI6 au CIA wanajitanua barabarani on everyday duties.
Ni maoni yangu tu, I may be wrong!
Mossad, CIA, MI6 hawafanyi kazi kwenye nchi zao.
Hawa ops zao nyingi ni kwenye nchi zingine ila wako tied na balozi zao

Ila hao jamaa wanajua honga sana kama wanajua una yatayowafaidisha
 
Sawa, hao ni magwiji wa covert operations.
Sasa wakiwa nje ya nchi, wanatembelea magari au vifaa yanayowaonyesha kuwa wao ni nani?
 
Back
Top Bottom