TRA, hii imekaaje? Gari ya 2022 na usajili wa miaka ya 2005?

Acha ushamba.
Tukiona mtu anahujumu nchi tumezee tu alimradi haituhusu moja kwa moja?
Hata kama mnafundishwa hivyo hiyo ni nidhamu ya woga.
 
mkuu achana na izo mambo izo gari ni za usalama hazina plate number maalumu
 
Amekuuliza wewe?? Siyo kila mtu ni kula kulala kama unavyotaka wewe, kuna watu wanachanganya akili zao.
 
Well said kiongozi..
 
Ni kweli mkuu.
First line of defence ya nchi hii ni raia wenyewe.
Kama kuna kitu hakipo sawa, wanakuwa wa kwanza kuhoji na kudadisi.
 
Mtoa mada sijui una umri gani na elimu gani...
Mambo hayo magari hata trfk hasogelei..
 
Mandela angewaza kama wewe,angeogopa kuuliwa na wazungu, kuna watu tusingefika bondeni kula bata,
Fanya kitu unachoamini,Kuna watu Wana roho za kiuna mapinduzi,Nyerere,Mandela,kwame nkurumah,kemea maovu popote pale,
Ni bongo tu ambapo kazi ya taasisi ya ujasusi,inaonekana yacajabu,kuogopeka sana,
Huku kwetu taasisi ya ujasusi imejaa vilaza kama zilivyo idara zingine,
Ni upuuzi mtupu umejaa,walikuwa wapi wakati Ndege inaanguka?hata kuona tu,hawakuona,Hawa kazi yao ku tap simu za wakosoaji wa ccm tu.
Hii nchi,unaweza ukaingia Ikulu,bila kuonekana,Kigoma,Kagera,Tunduma zinaweza kushambuliwa na mizinga,Air to ground,na jwatz watakuwa wamelala wanakuna mapumbu na kuwaza posho,mikopo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…