Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Hakuna alomkataa kulipa kodi shida nyie mnatutapeli sana aiseh wekeni kodi na iwe moja sio mandundu mengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna alomkataa kulipa kodi shida nyie mnatutapeli sana aiseh wekeni kodi na iwe moja sio mandundu mengi.
NakaziaTRA Tanzania kama hamjibu baadhi ya hoja za wadau humu sioni umuhimu wenu kuwepo hapa JF
But it’s not entirely their fault, nchi za wenzetu ata qualified accountants (C.P.A, ACCA and others) na wao sheria mpya hawajui. Uzuri kuna vitabu vya taxation kila mwaka vina update tax calculations kutokana na new budget, wanasoma kitabu nini kimebadilika na hawa ndio wanashauri wengine.1.Mkuu naunga mkono hoja yako.
2. Sina hakika kwa kizazi kilegeza suruali kilichoko TRA sasa hivi kama kinauelewa na weledi wa kodi na jinsi ya kumueleza mtu aelewe
3. Majibu ya jumla kama waliyotowa ni kielelezo tosha cha kiburi na ujinga
Inasikitisha sana na watu wanaendele kuumizwa kwa ujinga wao na ujinga na makusidi ya watu wanaopaswa kuwasaidia. Ni dhambi kulipishwa kodi isiyo halali na watetezi wetu NBAA na Tax consultants wapo tuBut it’s not entirely their fault, nchi za wenzetu ata qualified accountants (C.P.A, ACCA and others) na wao sheria mpya hawajui. Uzuri kuna vitabu vya taxation kila mwaka vina update tax calculations kutokana na new budget na hawa ndio wanashauri wengine.
Otherwise people who read every finance act word for word ni serious tax accountants who have added aspects of law skills to be qualified and not most cases their looking for loopholes to reduce tax bills for their wealthy clients ambao ni consultants wa large corporates au wealth individuals paying income tax.
Kwa bongo hakuna ata hiko kitabu cha kusaidia proffesional kwenye maswala ya kodi seuse raia ataelewa mambo ya kodi zinazobadilika kila mwaka.
Ndio kama huyu anaekuja analeta maelezo ukimuuliza sheria ipi hajibu; sasa ana faida gani kwenye jukwaa.
Kwenye hili suala peleka mipasho hukokwenye katiba mpya na tume ya uchaguzi- tunaongelea maisha ya watu ya kila siku hapa.Lipa kodi wacha ngonjera. Kama huwezi kulipa Kodi njoo nikulipie. Umesikia toto zuri
IVR au robot haiwezi kujibuTRA Tanzania kama hamjibu baadhi ya hoja za wadau humu sioni umuhimu wenu kuwepo hapa JF
Zimekaa kijuu juu sana kwa Humu JF ambao watu wengi wanaagizishia vitu vya kutumia kama Simu, Computer, Magari etc. Ni vyema kuelimisha jamii muweke mchanganuo wa bidhaa husika ambazo ni maarufu.
Mzee ushasema kodi ya PAYE….ni Sawa pesa hyo ukanunulie ndinga lazima uchajiwe tu…TRA Tanzania Mtu akifungua kampuni ( mfano ya udalali) halafu wakati anaanza akawa anaiendesha kwa mshahara wake (ambao tayari ushakatwa kodi -PAYE), katika kipindi ambacho hajaanza kupata faida na anaingiza hela tu kwenye kampuni.
Anatakiwa kulipa kodi zipi?
Hesabu haziko hivyoKiwandani kodi Tena VAT 18%>>> supply naye VAT 18%>>>Muuzaji naye VAT 18% hizi zote zinamkuta mnunuaji yani 18x 3=54%.
hapa hata mfanyabiashara wa mwisho na mteja watakwepa kodi angalieni ili.
Pili kodi zenu zipo kisifa sana kama kufurahisha watawala.
Dunia imebadilika muangalie na TAX ya kitu chenyewe .yani na nunua mashine ya kusaidia kuongeza chakula unanipa maushuru utazani nimenunua gari.
Hesabu haziko hivyo