TRA inakumbusha kuwa unapoagiza bidhaa nchini kupitia uwanja wa ndege, mipakani, Bandarini au njia ya Posta, unapaswa kulipa kodi zifuatazo

TRA inakumbusha kuwa unapoagiza bidhaa nchini kupitia uwanja wa ndege, mipakani, Bandarini au njia ya Posta, unapaswa kulipa kodi zifuatazo

1.Mkuu naunga mkono hoja yako.
2. Sina hakika kwa kizazi kilegeza suruali kilichoko TRA sasa hivi kama kinauelewa na weledi wa kodi na jinsi ya kumueleza mtu aelewe
3. Majibu ya jumla kama waliyotowa ni kielelezo tosha cha kiburi na ujinga
But it’s not entirely their fault, nchi za wenzetu ata qualified accountants (C.P.A, ACCA and others) na wao sheria mpya hawajui. Uzuri kuna vitabu vya taxation kila mwaka vina update tax calculations kutokana na new budget, wanasoma kitabu nini kimebadilika na hawa ndio wanashauri wengine.

Otherwise people who read every finance act word for word ni serious tax accountants who have added aspects of law skills to be qualified. In most cases they’re looking for loopholes from the Act to reduce tax bills for their wealthy clients wakiwa kama consultants wa large corporates au wealth individuals paying income tax.

Kwa bongo hakuna ata hiko kitabu cha kusaidia proffesional kwenye maswala ya kodi seuse raia ataelewa mambo ya kodi zinazobadilika kila mwaka.

Ndio kama huyu anaekuja analeta maelezo ukimuuliza sheria ipi hajibu; sasa ana faida gani kwenye jukwaa si angempa chawa mmoja tu aposti kama ataki kujibu queries za jukwaa.
 
But it’s not entirely their fault, nchi za wenzetu ata qualified accountants (C.P.A, ACCA and others) na wao sheria mpya hawajui. Uzuri kuna vitabu vya taxation kila mwaka vina update tax calculations kutokana na new budget na hawa ndio wanashauri wengine.

Otherwise people who read every finance act word for word ni serious tax accountants who have added aspects of law skills to be qualified and not most cases their looking for loopholes to reduce tax bills for their wealthy clients ambao ni consultants wa large corporates au wealth individuals paying income tax.

Kwa bongo hakuna ata hiko kitabu cha kusaidia proffesional kwenye maswala ya kodi seuse raia ataelewa mambo ya kodi zinazobadilika kila mwaka.

Ndio kama huyu anaekuja analeta maelezo ukimuuliza sheria ipi hajibu; sasa ana faida gani kwenye jukwaa.
Inasikitisha sana na watu wanaendele kuumizwa kwa ujinga wao na ujinga na makusidi ya watu wanaopaswa kuwasaidia. Ni dhambi kulipishwa kodi isiyo halali na watetezi wetu NBAA na Tax consultants wapo tu
 
TRA Tanzania Mtu akifungua kampuni ( mfano ya udalali) halafu wakati anaanza akawa anaiendesha kwa mshahara wake (ambao tayari ushakatwa kodi -PAYE), katika kipindi ambacho hajaanza kupata faida na anaingiza hela tu kwenye kampuni.

Anatakiwa kulipa kodi zipi?
Mzee ushasema kodi ya PAYE….ni Sawa pesa hyo ukanunulie ndinga lazima uchajiwe tu…

U taxed when u earn,u taxed when you spend….hyo ni circle ya wafanyakazi hasa wa serikali
 
Huwa kuna vipindi vya elimu kwa mlipa Kodi, shida wale waandishi wa habari hawana uelewa wa shida halisi wanazopata walipakodi, au changamoto za TRA na mikanganyiko ya kisheria, kwa hio wanakosa maswali muhimu ya kuhoji
 
Kiwandani kodi Tena VAT 18%>>> supply naye VAT 18%>>>Muuzaji naye VAT 18% hizi zote zinamkuta mnunuaji yani 18x 3=54%.

hapa hata mfanyabiashara wa mwisho na mteja watakwepa kodi angalieni ili.

Pili kodi zenu zipo kisifa sana kama kufurahisha watawala.

Dunia imebadilika muangalie na TAX ya kitu chenyewe .yani na nunua mashine ya kusaidia kuongeza chakula unanipa maushuru utazani nimenunua gari.
Hesabu haziko hivyo
 
Ombeni moderators wa-verify account yenu nyie TRA hii unazua maswali.
 
Back
Top Bottom