TRA, inakuwaje ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari lenyewe?

Kikokotoo kinapata thamani ya gari kwa kuangalia thamani ya gari likiwa jipya na kutoa uchakavu kutoka mwaka lililozalishwa mpaka mwaka wa manunuzi.pia Kwa kuwa kodi ni asilimia ya thamani ya gari wakati wa manunuzi inawezekana manunuzi yako umepàta discount.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…