TRA, inakuwaje ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari lenyewe?

TRA, inakuwaje ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari lenyewe?

Serikali ya CCM inakomoa raia wake, vyombo vya usafiri ukivipiga kodi kubwa unakwamisha maendeleo.
Tushirikiane kuondoa hawa watawala kila mtu mahali alipo, maana maendeleo ya watu binafsi nchi hii itakuwa ni ndoto!!
Watawala wanajinufaisha wenyewe, wanadai eti wanatetea wanyonge!!
Eleweni maana yangu, wanajiuzia mashangingi bei chee wananchi ni dhuluma tuu wala sio kodi hiyo ni wizi!!
Bahati mbaya wapiga kura wapo vijijini na wao hawana mtazamo sawa na wa vijana wachache wa mijini.
 
Hizi wanazofanya ni dhambi ....na hapa sijui sheria ya kodi inasemaje? Au serikali gari wameona ni kitu cha anasa sana kiasi kwamba inaonekana ni kosa mtu wa kawaida kumiliki gari? Kwanini kukomoana hivi?
Halafu Juzi hapa nimesikia kumbe wabunge hupata msamaa wa kodi za. Magari wakiagiza! Yaani Huko kiongozi anayevuna laki tatu kwa siku ndiyo anasamehewa wewe masikini unaedundulizwa ndio unapigwa nyundo!
Ifikie pahala wa tz tujifunze riot

Sis tulizaliwa mabwege na tutakufa mabwege. Ingekua nchi nyingne sasa hv watu wangeshachoka na wangepambana yakaisha huku kwetu kila mtu na lake.
 
Back
Top Bottom