Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Sijui hauelewi wapi kwenye mfano wako huo wa IST umenunua 5 milioni na ushuru milioni 5, halagu umekuja kuzungumzia Legacy B4 CIF 12 milioni ushuru wake 24 milioni inamaana hujaona tofauti au? Mara mia hio legacy B4 ingekua 12milion ikaeleweka kwamba ushuru ni bei uliyonunua gari jumla ikawa 24 milioni unachoshangaa kwenye Jetta ndo hicho hicho kipo kwenye Legacy tatizo lipo kubwa sana wasiojua magari wanafanya valuation ya magari...Nikuulize swali? Unavoagiza ist ya 2002-2005 kwa million 5 halafu unakuja kulipa million 5 ushuru na hapo kwenye hyo legacy B4 cif 12m na ushuru 24m kuna tofaut gani?
Hapo kwenye hicho kijetta hata me nna mashaka nacho kwa gari kama hyo tena ya 2010 ambayo inathamani kuliko ist iuzwe million 6 bei sawa na ist ya 2003..something must be wrong somewhere