Kichwamoto
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 3,403
- 4,692
Pole mkuu lakini Kama ilo gari ni miaka ya 1999 lazima iwe ivyo maana Kodi ya uchakavu inclusive
Hii ya uchakavu ni kichekesho sana, mbona uchakavu wa imports za misaada hulipiwi kodi, ukiitafakari shida zetu na hasa umasikini wa akili inauma sana, barabara mbovu, pesa shida, usafiri shida, mwananchi anajitegemea kwa asilimia 90 matumizi yake, hivi Africa imefikia hadhi ya kudai kodi ya uchakavu kweli? When we import more than export itoshe kufahamu tuna shida zaidi ya hao wa ng'ambo, ni aibu sana kudai hii kodi na ni ukoloni uliojaa kejeli