Twende kwa vitendo naweza kupata gari kwa usd10000 kikotoo cha depreciation cha tra kikalazimisha ni 12590usd hiyo ndo itakuwa cif na ndo base ya kodi inapolala sasa kwanini isifike milioni 60?Sio kweli,umeongea kishabiki sana. Hakuna gari la million 15 lenye ushuru wa million 60.
Kikawaida yaan layman ushuru huwa sawa na CIF,mfano kama gari ni million 5 bas we andaa tu million 5 ya ushuru