Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
cha nyumbu si kipo kileWatuwekee viwanda ili tupate unafuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cha nyumbu si kipo kileWatuwekee viwanda ili tupate unafuu
Huyo nyumbu kuna uwezekano mkubwa anatumia curburrator mpaka leo. Consumption 5km/l nanai anataka hio biashara 🤣🤣🤣Kuweni wazalendo, nunueni nyumbu nimewahi kuyaona kwenye sherehe gani sijui hayana ushuru wa kuingiza
View attachment 1477424
Hiki ndio ambacho mie nafanya. Hamn haja ya kuchoshan kisa natafuta namba DTZ !Nunua hapa hapa bongo...
HuelewekiBei ya gari huangaliwa ikiwa mpya.... then mahesabu ya depriciation hufuata... HATA UKIPEWA BURE, KODI UTALIPA... Gari ya mwaka gani? Brand gani? Ikiwa mpya inauzwa shilingi ngapi? Bei ya sasa ni shilingi ngapi? CC ngapi?
Mkuu utainjoy sana na wadau hawapendi uinjoy namna hio.Hiyo sio sababu hapa Tz kuna kuumizana kwingi na ndio kisa maisha yanakua magumu siku zote...
Kuna tatizo gani nikileta gari ya milioni 6 ukanitoza ushuru wa milioni moja na laki mbili?
Hapo ndipo mnakoseaga kila sehemu mnaingiza michadema na miccm yenu. Ushawahi ona Mbunge Wa upinzani anatetea hili? Wote ni wachumia tumbo tu kwa taarifa yako hawakuwazii wewe,wanawawazia mademu zao,familia zao tu. Wewe wanakutumia kama mtaji Wa kufanikisha azma yaoKama wanaona magari ni anasa mbona wao (wanasiasa wa Ccm) hawaachi kutumia hizo anasa?
Magari mengi sana ya ulaya washamba waliojazana hapo tra wanaya-overrate kwenye kikotoo cha depreciation yanafika hadi hukoHebu tuwekee hapa hilo gari LA million 15 lenye ushuru wa million 60
Sema hujaelewa... usisahau kuna LIKE zipo kwenye hii post, walioweka LIKE wameelewa... WEWE SEMA HUJAELEWA NA HUJAELEWA WAPI UELEWESHWE...Hueleweki
Upuuzi mkubwa hapo ni sawa umenunua gari tatu wewe ukabaki na moja, hlf mbili ukagawa serikalini
Sio kweli,umeongea kishabiki sana. Hakuna gari la million 15 lenye ushuru wa million 60.Magari mengi sana ya ulaya washamba waliojazana hapo tra wanaya-overrate kwenye kikotoo cha depreciation yanafika hadi huko
Hili suala linaumiza wengi sana. Nchi zingine kuingiza magari ni bei chee tofauti na tanzania....Nimetumia kikokotoo cha TRA nimechoka kabisa, ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari yenyewe
Halafu wanatokea wajinga wachache wanasema, waafrika tumebarikiwa. Kumbafu sana....Unapoambiwa "Afrika ni nchi masikini" huo umasikini ni pamoja na umasikini wa akili!
Magari maarufu yana kodi kubwa mfano Crown, Rav 4, Noah , Land Cruiser. Kuna magari ambayo sio maarufu kodi zake ni nafuu kidogo, hususan brand za kizungu.Nimetumia kikokotoo cha TRA nimechoka kabisa, ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari yenyewe
NyumbuKwani tunaviwanda hapa ndani?
Hata utakuwa upo tatizo UBORA!!Hivi ulempango wa kuunda magari hapa Tz umefikia wapi .. Mwenye up-to-date jamani
Hili suala linaumiza wengi sana. Nchi zingine kuingiza magari ni bei chee tofauti na tanzania....
Tatizo tunakimbia tatizo badala ya kulitatua. Kuzuia importation ya magarai kwa ku impose kodi kubwa ikiwa hamna kiwanda hata kimoja kinachozalisha magari nakuwa sielewi umuhimu wa hio protectionism policy!State of demand and appropriate task, overfull demand- discarage customers, walisema tuna barabara chache kwahiyo wakiweka ushuru wa chini mtanunua sana magari,
Cha ajabu halizungumzwi bungeni, hapo ndio wanaponiacha hoi. Yanajali maisha yao na watoto wao, wengine waendelee kuteseka. Mkuu wengine wameshindwa kukomboa gari zao pale bandarini ushuru mkubwa sana.
Mkuu huogopi kuuziwa mbuzi kwenye gunia?, maana ndo tatizo kubwa ambalo wengi wanalikimbia kununua magari bongoHiki ndio ambacho mie nafanya. Hamn haja ya kuchoshan kisa natafuta namba DTZ !
Nanunua DR ilionyooka kwa bei ya mtori humu humu bongo.
Kama ni hivyo mbona kwa mfano gari la 2005 ushuru wake mkubwa kuliko la 2004 (same make, model, cc, etc)!Wanafanya hivyo ku-avoid tanzania kuwa dumping place