TRA, inakuwaje ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari lenyewe?

TRA, inakuwaje ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari lenyewe?

Kweli uwezo wako wa kuelewa ni mdogo wapi nimezungumzia kuharibu barabara?
Hapo penye appropriation risk etc mara discarage customer risk bila kusahau barabara chache kwaio
kodi kubwa ili magari yawe machache barabarani hahaha yani shule kweli umeenda mkuu?
 
Pole mkuu lakini Kama ilo gari ni miaka ya 1999 lazima iwe ivyo maana Kodi ya uchakavu inclusive
Kodi ya uchakavu sio inshu tatizo ni calculator na sheria ya kodi, mathalani kodi ya uchakavu inaweza ikalegezwa na viwanda vikapata raw material za nondo kwa gharama ndogo zaidi
 
Unaweza ku appeal Kama una karatasi halali za ununuzi wa gari. Tax base wanayoitumia tra ndio inafanya Bei kuwa kubwa so Kama Bei ya gari yaani invoice price plus freight Ni ndogo kuliko tax base waliyotumia kwenye kikokotozi unanafasi ya kuappleal
ulishawahi jaribu hivyo?
 
Hapo penye appropriation risk etc mara discarage customer risk bila kusahau barabara chache kwaio
kodi kubwa ili magari yawe machache barabarani hahaha yani shule kweli umeenda mkuu?
Kuna bonge la Point uliwahi kusema humu jf 'Pale tra wamejazwa washamba wasiojua magari,wangewekwa watoto wa mjini hapa mjini kungekua na magari ya ukweli'.

Nadhani point yako hio kwangu inabaki ni Valid mpk siku watakapobadili kodi zao za kinyang"anyi kwny magari.
 
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Mkuu huo ndo uhalisia na hilo ndo tatizo lililopo maana haiwezekani Legacy BM9 au VW Jetta ya 2009 ziwe na CIF kubwa maana hawa washamba wakiona muundo wa gari zuri tu wanaweka CIF $9000-11,000, Subaru Forester SG9 au SH9 ushuru 17,000,000 na kuendelea hadi unashangaa
 
Nimetumia kikokotoo cha TRA nimechoka kabisa, ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari yenyewe

Hii nchi huwa nachoka kabisa yani miaka yote wameshindwa kushusha ushuru sijui ni kwanini!! Na wananchi wanapenda mno kulalaikia pembeni, huwezi kuta kwenye runinga, radio ama blog mbali mbali wanalizungumzia..Mkuu ahsante kwa kuliona hili.

Mfano, Gari umelinunua Dubai kama unavyojua wenzetu huko uarabuni gari zao bado ni mpya, umelinunua kwa dola 5000., huku kwetu unalileta ushuru wanakubamiza sio chini ya dola 30000. Ebu niambie hiyo 30 kama ni dubai unanunua gari ngapi kama hiyo!! Ndio maana wenzetu wako juu sana, mtu ana pesa zake anakubadilishia gari kwa mwaka hata mara mbili.
 
State of demand and appropriate task, overfull demand- discarage customers, walisema tuna barabara chache kwahiyo wakiweka ushuru wa chini mtanunua sana magari,
at least umesema ukweli
 
Back
Top Bottom