Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si hilo hapo juu mkuuHivi ulempango wa kuunda magari hapa Tz umefikia wapi .. Mwenye up-to-date jamani
Nimetumia kikokotoo cha TRA nimechoka kabisa, ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari yenyewe
Ukiangalia kodi ya kununua gar ya mwaka huu. Ni bora ukanunue la mwaka 2000.Pole mkuu lakini Kama ilo gari ni miaka ya 1999 lazima iwe ivyo maana Kodi ya uchakavu inclusive
State of demand and appropriate task, overfull demand- discarage customers, walisema tuna barabara chache kwahiyo wakiweka ushuru wa chini mtanunua sana magari,Nimetumia kikokotoo cha TRA nimechoka kabisa, ushuru wa kuingiza gari ni mkubwa kuliko bei ya gari yenyewe
Sio ushuru tu haina rivasi piaMkuu hyo kitu ni balaa kwa hiyo haina ushuru?
Umenifurahisha sana, but bad enough ni kuwa unaweza kununua gari Uganda kwa bei nafuu kuliko Tanzania licha ya uwepo wa bandari. Africa hatuthaminiani na tunaombeana umasikiniUnapoambiwa "Afrika ni nchi masikini" huo umasikini ni pamoja na umasikini wa akili!
Wanafanya hivyo ku-avoid tanzania kuwa dumping placeSerikali za Africa hazipo kusaidia raia bali kuumiza raia
Hili suala hata bungeni halijadiliwi kwani wabunge wanaona wivu raia wao kumiliki magari mazuri, ila Tanzania kibokoKuna watu mmekaririshwa uchakavu nawaambia hivi hiyo wala sio sababu ila serikali ya ccm ya ccm inachukulia kuwa na gari ni anasa na pia njia ya uhakika kukusanya kodi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaahAcha tu uwe mkubwa sio kila mtu amiliki gar bhna. Hata hadhi ya kumiliki gar imeanza kupungua. Nashauri ushuru uwe mara 4.
Wanasema tuna barabara chache ukilinganisha na magari yanayoagizwa hasahasa dar, mwaka 2005 ilikuwa kila magari kumi yanayopitia bandari ya dar tisa yanabaki dar kwahiyo moja tu ndio linaenda mkoani, ila kilichonishangaza mwaka 2002 afrika ilikuwa na 2% ya magari yote yaliyopo dunianiDecision makers wa nchi hii ndo wanafanya maisha yawe magumu kuliko uhalisia.
Magari yakiwa mengi nchini serikali itafaidika maradufu kuliko kukaba kwenye hiyo kodi ya kuagiza tu ambayo imekwamisha watu wengi tu kumiliki magari ya ndoto zao.
Kuna sekta kibao tu zingekua ikiwa pamoja na ajira kuongezeka.
Duh huu si wendawazimuNiliotaka kuchukua ni $3600 ushuru Tsh 16,000,000
Maelezo yako yanaturudisha pale pale, ushuru wa gari bongo ni mkubwa mno kuliko gharama ya gari lenyewe.Hiko kitu hakipo, ila wewe upo na shida ya uwelewa wa kikotoo cha kodi ya magari. Kikotoo kimewekwa kwenye standardization ambayo kwa kila CIF (cost of insurance and Fright) matokeo yake ya kodi hayawezi kuzidi gharama za manunuzi.
Sasa shida inakuja umepata vipi gari kupewa gari bure, kununua gari mnadani, umenunua gari mkononi kwa mtu. Kwahiyo ikiwa gharama ulizotumia kuipata hyo gari zipo china kutokana na makadilio yaliyowekwa kwenye kikokotoo lazima italeta matokeo ya kodi kua kubwa zaidi ya Gharama za gari.
Note; Sheria ya kodi inasema, kodi inakua calculate kwenye CIF *whichever is higer* kati ya makadilio ya CIF kwenye TRA calculator na gharama halisi za gari hadi inafika port(CIF).
Pia, first method ya calculation za kodi ya forodha zinafanyika kwenye gharama halisi( actual transaction value) ila hii kwenye magari inakua applied endapo utatoa Reasonable evidence kua hiyo gari umeipata kwa hiyo gharama kwasababu makadilio ya gharama yalishafanyika na kupata Tools ya kutafuti kodi( TRA calculator).
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo sio sababu hapa Tz kuna kuumizana kwingi na ndio kisa maisha yanakua magumu siku zote...Pole mkuu lakini Kama ilo gari ni miaka ya 1999 lazima iwe ivyo maana Kodi ya uchakavu inclusive