miamiatz
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 505
- 941
Bahati mbaya wapiga kura wapo vijijini na wao hawana mtazamo sawa na wa vijana wachache wa mijini.Serikali ya CCM inakomoa raia wake, vyombo vya usafiri ukivipiga kodi kubwa unakwamisha maendeleo.
Tushirikiane kuondoa hawa watawala kila mtu mahali alipo, maana maendeleo ya watu binafsi nchi hii itakuwa ni ndoto!!
Watawala wanajinufaisha wenyewe, wanadai eti wanatetea wanyonge!!
Eleweni maana yangu, wanajiuzia mashangingi bei chee wananchi ni dhuluma tuu wala sio kodi hiyo ni wizi!!