TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
Uzembe na uzururajiSo hapa case inakuwa nini? Manslaughter?
ulipotelea wapiNilitaka kufurahia ila nikakumbuka huyo kijana ana ndugu wasio na hatia wanamtegemea.
Poleni sana. Mambo ya utekaji yamewaponza watumishi wenu. Lawama wapewe police
Yeah Mob justice.Kwenye ”mob justice” utamkamata nani utamwacha nani?nadhani Samia atakuwa anajua zaidi maana alisema duniani kote mambo haya yanatokea siyo kwenye serikali yake tu.
Apumzike kwa amani japo kwa damu yake atakuwa amefungua njia kwa mamlaka za kiserikali kufanya kazi kwa kufuata taratibu na weledi,uhuni wa watu kutekwa utapungua pia.