TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

Hii ni kusudi tu

Watekaji wanajulikana ila wakija kila mtu anaufyata mfano yule Bonge alipiga kelele hakuna aliyejitokeza, kwa kibao hakuna aliejitokeza

Kwa Nondo tena kweupe kabisa hakuna aliethubutu hata kufungua mdomo

Leo hii mnajua kabisa hawa ni tra mnaamua kuwakomesha

Sasa rungu liwafikie wote waliohusika

Maana wanaokuja na bangili mkiwaona mnakaa kimya, hawa tofauti mnajifanya vifua mbele

Shenz type
 
malipo ya serikali ya Tanzania kutofuata demokrasia, hali iliyopelekea usalama wa taifa kuzorota huku mamlaka nyingi zikiwa kwenye uchawa na kuacha kusisitiza watumishi wa serikali na polisi kufuata sheria za nchi kutekeleza wajibu wao kutokufuata sheria hizi ni uhalifu
 
Poleni TRA
Pole kwa familia

Polisi waanze na waliomuua mzee Kibao kwanza maana haya matukio yamezidi na yanafumbiwa macho.

Ukamataji salama unaofuata sheria na haki za binadamu utaepusha mengi sana.

Wananchi bado tunaona serikali haijali hali zetu ndo maana nguvu kubwa inatumika dhidi ya wananchi humu watuhumiwa ndani ya serikali wakilindwa na kufichwa
 
Nimesikia huruma sana kwa huyu dogo,kuna kitu kinaniambia kwanini ajali ya wabunge wa ccm waliopata ajali asubuhi hawakuondoka angalao saba kufidia roho ya huyu?

Maana kugonga gonga meza hovyo huku sheria za hovyo zikipitishwa ndiko kulikozusha kifo cha huyu kijana.
 
Back
Top Bottom