TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

TANZIA TRA inatangaza kifo cha mtumishi wao, Amani Simbayao kilichotokea leo 06/12/2024

Sema pia wanasema yule jamaa walisema afisa kipenyo wa tukio la masaki aliyempiga mtu na kitako Cha bunduki baaadaye wakasema ni afisa mapato!!! Sasa inakuwa shida kutambua yupiyupi in tinted landcruiser!!!!!
Sasa imagine yule kesi yake imezimwa ila unaona dhahiri jamaa alikuwa anafanya ushenzi live on camera na pale ni Bar. What if ukikutana nae kwenye anga zake za kutekeleza majukumu yake? Utapona kweli.
 
View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Nimefurahi sana kwa kweli. Tusipangiane cha kufurahia. Waiter naomba Heineken 5 za baridi.
 
Waliofanya huo uhuni ndo watajua huwa ni Polisi kweli au Policcm. Watasakwa kila kona na kufikishwa mahakamani. Na wakileta ubishi tutasikia "Marehemu alikuwa akikataa amri halali ya polisi ikabidi zitumike risasi za moto"...
Hicho ni kitendo cha polisi kinakuwa ni cha kihuni pia. Huwezi ku prove kuwa hao watu walishiriki tukio zaidi tu utakuwa umewabambikia kesi. Wengine ni wapita njia tu.
 
View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
tunakuja kula ubwabwa na maharagwe wapi yaani wapi msiba upo?!
 
malipo ya serikali ya Tanzania kutofuata demokrasia, hali iliyopelekea usalama wa taifa kuzorota huku mamlaka nyingi zikiwa kwenye uchawa na kuacha kusisitiza watumishi wa serikali na polisi kufuata sheria za nchi kutekeleza wajibu wao kutokufuata sheria hizi ni uhalifu
Hao wasiohusika Kwasasa kasongo nangali inawasubiri
 
Tra waachane na hii michezo ya kuvizia watu.

Kule Mbeya kuna mwaka walikata moto watumishi waliokua ndani ya gari yao iliyopata ajali mbaya baada ya kuivaa roli kwa nyuma, kisa na mkasa ni kufukuzia gari waliyoamini ina magendo.
 
Wapumbavu wanaua watu wanaojua fika sio watekaji ila watekaji wanawaogopa. Mitanganyika hovyo sana.
Unachotakiwa kuwashauri TRA ni kufuata sheria kwenye utendaji kazi, na kuacha kuvuka taratibu zao za mipaka ya kazi (kwa njaa za maafisa zao) sio kwamba natetea mashambulizi.

Alichoandika huyu taahira wao sijui ndio afisa habari wao, TRA hawana mamlaka nacho na sio sehemu ya majukumu yao.

Nakuhakikisha 100% hawezi, contradict hii post.

Hiyo ni issue ya DPP, jeshi la polisi na TRA ni kuwasaidia tu.
 
View attachment 3170823
=============

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Wasiojulikana wanapo naswa ujitambulusha kama wanaojulikana kwa kutaja mojawapo ya kazi zao serikalini 🤩🤩🤩🤩🤩..... wadanganyika wanadanganyika kijinga sana😇😇😇 wasio julikana wanakazi zaidi ya moja serikalini kuweni makini ..ukitaka kuwajua kuwa ni wao wewe unachotakiwa ni kuangalia tukio lilivyo tendeka ...mfano kuna haja gani kumvamia mtu ambaye siyo jambazi wala mwizi wakati uliweza kumwita tu sehemu husika ....mfano polisi wanamtaka mwanasiasa siwana mwita tu ...kwanini wamkamate kwa kumteka kama majambazi wafanyavyo.
 
Kweli hapo wananchi wamezingua. Mbona wakija watekaji wenyewe tunaufyata?
Hao ni wananchi wa Ndevu Za Tegeta. Hawa walioshughulikiwa ndo watekaji wenyewe... maana Tizi ni kila sehemu na anaweza kupiga popote kwa utambulisho wowote.
 
TRA Tanzania

Toeni ufafanuzi kuhusu Vijana wenu kufuatilia Gari Usiku.

Pia Mtuonyeshe kwenye SOP zenu mahali panasema Mvizie mtu ili kumkamata usiku.

Kwenye Kesi Ya Abdul Nondo tumepigiwa picha ya gari kama lenu likiwa linabadiliashwa namba plate.

Tunaomba picha ya majeruhi / wahanga wa Kipigo Cha Ndevu tuone kama walikuwa na sare za TRA wakati wanashughulikiwa na wananchi wenye hasira kali dhidi ya utekaji.
 
Katika hili tukio, hakuna haja ya kumkamata yoyote wala kumshtaki yoyote, maana ni tukio limefanywa na wananchi wasiojulikana katika kujihami dhidi ya watu wasiojulikana.
 
Sasa imagine yule kesi yake imezimwa ila unaona dhahiri jamaa alikuwa anafanya ushenzi live on camera na pale ni Bar. What if ukikutana nae kwenye anga zake za kutekeleza majukumu yake? Utapona kweli.
Nashanga watanzania wanapo pata bahati ya kuwaua hao watu wanajishauri ....hao ni kupiga na kuwalipua moto tu hakuna mazungumzo nao wala mahojiana nao .....kazi safi sana imefanya na hao raia ....jana nilipita sehemu nikasikia polisi anaongea na raia kuwa wanaweza kuja kumkamata huyo muhalifu tatizo ni watu hivyo huyo raia afanye jumuiko na viongozi wa mtaa ili polisi wasije kuingia matatani kwa kuisiwa watekaji ...hii inaonyesha huyo polisi aliogopa kwenda kumkamata mtu kutokana ma serikalini ya samia kuwa na magenge ya kihalifu yanayo ua watu ...wananchi wamesha jilizisha kuwa ni watu wa serikali....tazama wale jamaa wanaodaiwa mabondia waliokamatwa walivyo pewa dhamana kirahisi sana....
 
Back
Top Bottom