Idimi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,328 Reaction score 11,192 Dec 8, 2024 #341 makwega7 said: Umezisoma Sheria zote zinazofanyakazi Tanzania ukagundua hakuna Sheria inayowaruhusu kukamata. Ujuaji ni mzigo. Click to expand... Ungekuwa umezisoma usingeuliza bro. RIP kijana wetu
makwega7 said: Umezisoma Sheria zote zinazofanyakazi Tanzania ukagundua hakuna Sheria inayowaruhusu kukamata. Ujuaji ni mzigo. Click to expand... Ungekuwa umezisoma usingeuliza bro. RIP kijana wetu
Idimi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,328 Reaction score 11,192 Dec 8, 2024 #342 Albinoomweusi said: Tena usiku muda ambao TRA hawako kazini Click to expand... Na sheria inataka wawe na order kutoka mahakamani inayowaruhusu kufanya hayo. Ila kwa kuwa wapiga dili huwa hawajali hayo, wanakutana na hayo yaliyotokea. RIP dereva
Albinoomweusi said: Tena usiku muda ambao TRA hawako kazini Click to expand... Na sheria inataka wawe na order kutoka mahakamani inayowaruhusu kufanya hayo. Ila kwa kuwa wapiga dili huwa hawajali hayo, wanakutana na hayo yaliyotokea. RIP dereva
DPN Member Joined Sep 28, 2020 Posts 97 Reaction score 180 Dec 8, 2024 #343 mzabzab said: So hapa case inakuwa nini? Manslaughter? Click to expand... Murder.