Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
Madhara ya mambo ya kipuuzi ndo haya..R.I.P gentleman
Mtu asiyekuwa na hatia, akiwa anafanya kazi ya kizalendo anapotea kizembe hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madhara ya mambo ya kipuuzi ndo haya..R.I.P gentleman
kila nafsi itaonja umauti kadiri Mungu atakavyoamua na sawa sawa na mapenzi ya Mungu.Madhara ya mambo ya kipuuzi ndo haya..
Mtu asiyekuwa na hatia, akiwa anafanya kazi ya kizalendo anapotea kizembe hivi.
Wanaona watu mabwegeKuna wasio na akili wanaamini kabisa eti huyo dogo alikuwa muajiriwa wa TRA,mtekaji kauawa wanakuja na twists zao wanadhani watu wote hawana uwezo wa kuusoma mchezo na kuubaini. We ain't fools.
Hilo liko wazi.Za chini chini sio mtumishi wa tra,ni moja ya wasiojulikana bt tra wametumika kucover.
Mob justice utamkamata Nani labda mwenye BMWTwo wrongs don't make it right. Waliohusika washughulikiwe. Apumzike kwa amani
REST IN HELLView attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Kwa Hali ilivyo SASA wala huwezi kujua kama na yeye alikuwa anaenda kuua ndio akauawa 🤷Serikali hii ilikofikia siko😔😔Wananchi wamechoka na huu utekaji. Ona sasa kijana wa watu ameuwawa bure kwasababu wa wapuuz wanaoteka raia. Rais inabidi achukue notes apa achukue hatua
Basi tusubirie mazishi kama ni ya kitarehe au kitiziHawakua na sare Wala vitambulisho
💯✔️Za chini chini sio mtumishi wa tra,ni moja ya wasiojulikana bt tra wametumika kucover.
Mkuu umenifanya nicheke sanaKwenye ”mob justice” utamkamata nani utamwacha nani?nadhani Samia atakuwa anajua zaidi maana alisema duniani kote mambo haya yanatokea siyo kwenye serikali yake tu.
Apumzike kwa amani japo kwa damu yake atakuwa amefungua njia kwa mamlaka za kiserikali kufanya kazi kwa kufuata taratibu na weledi,uhuni wa watu kutekwa utapungua pia.
View attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Hata Mungu alipowatoa wanaisraeli misri misiba ilikua mpaka kwenye mlango wa Farao ndiyo Farao akaruhusu watu waondoke. Mfano mzuri ni huu bahati mbaya tu ni tra. Lakini vilio vinasikika kila Kona na matamko sababu msiba upo milangoni kwao. Lakini misiba ya kwenye milango ya watekwaji tu utosikia matamko ya kulaani Wala maagizo siriaz ya wakamatwe haraka.Hili nalo neno....hapa ni mwendo wa jino kwa jino au sio
Asante mkuu kwa pendekezo lakoNaomba hii comment iwe ya kufungia mwaka 2024. Superb
Kabisa washakalilishwa kuwa watanzania ni wajinga. Kumbe Kuna watu wanauwezo mkubwa sana kiakili ambao wamepewa na Mungu.Wanaona watu mabwege
Wanajua sana Ila wanaziba masikioMlitaka wenyewe afe, jsribuni kusoma hali halisi ya wananchi na matukio, ama mmejifubgia sana kwenye ma AC hamjui kinachoendelea?
Dahshambolic