Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Ohoo masikini..naambiwa hapa ni kamq mwezi tu, toka amzike Marehemu mama yake..Aligonga bodaboda zilizo-block gari yao kwa nyuma hapo ndipo alipoamsha hasira za Wananchi angetulia wala yasingemkuta makuu
RIP Marehemu
Pole sana kwa Marehemu na Wafiwa woteOhoo masikini..naambiwa hapa ni kamq mwezi tu, toka amzike Marehemu mama yake..
Wameshakamatwa tangu mchanaUtamkamata nani kwa mfano kwa ushahidi gani labda, watu wamerusha vitofa wamepotea wewe unaenda kumkamata nani?
Unakazana kutafuta kodi kwa ajili ya serikali kununua magari ya kifahari ? Vijana jijalini kwanza fanyeni kazi lakini wekeni afya yenu mbele. Na hawa watu hawakuwataarifu polisi wakiogopa mgao utakuwa mdogo watu wakiongezekaView attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Waliyekuwa wanamfukuzia hadi ikatokea hili, naye ana ndugu zake wanaomtegemea kama wangefanikiwa basi ingekuwa habari nyingineNilitaka kufurahia ila nikakumbuka huyo kijana ana ndugu wasio na hatia wanamtegemea.
Hao waliokamatwa sio wahusika hizo issue nazijua PoliCCM hio Michezo ya kuzoazoa yoyote ndio michezo yaoWameshakamatwa tangu mchana
Kuprove mahakamani ngumu kama walihusika kweliKwenye ”mob justice” utamkamata nani utamwacha nani?nadhani Samia atakuwa anajua zaidi maana alisema duniani kote mambo haya yanatokea siyo kwenye serikali yake tu.
Apumzike kwa amani japo kwa damu yake atakuwa amefungua njia kwa mamlaka za kiserikali kufanya kazi kwa kufuata taratibu na weledi,uhuni wa watu kutekwa utapungua pia.
Hili linashangaza sanaRIP kijana wetu.
Jukumu la kukamata raia sio la TRA, walitakiwa watumie polisi kufanya kazi zao. Wao kazi yao ni kukusanya kodi, sio kukamata wahalifu wakwepa kodi!
Inahitaji akili kubwa ili uyatambue hayaHili ndio kubwa.... mzee wangu mmoja alikuwa anapenda kusema, "dhoruba ikianza, funga madirisha"
Yeah madhara ya kujichukulia sheria mkononi hata wewe ukikutwa umekaa vibaya unazolewa unapewa kesi ya mauaji unaenda kukaa mahabusu mwaka mzima kusubiri kupangiwa sessionHao waliokamatwa sio wahusika hizo issue nazijua PoliCCM hio Michezo ya kuzoazoa yoyote ndio michezo yao
Poleni sana WafiwaView attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
Kweli hapo wananchi wamezingua. Mbona wakija watekaji wenyewe tunaufyata?Hii ni kusudi tu
Watekaji wanajulikana ila wakija kila mtu anaufyata mfano yule Bonge alipiga kelele hakuna aliyejitokeza, kwa kibao hakuna aliejitokeza
Kwa Nondo tena kweupe kabisa hakuna aliethubutu hata kufungua mdomo
Leo hii mnajua kabisa hawa ni tra mnaamua kuwakomesha
Sasa rungu liwafikie wote waliohusika
Maana wanaokuja na bangili mkiwaona mnakaa kimya, hawa tofauti mnajifanya vifua mbele
Shenz type
View attachment 3170823
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa baada ya tukio la shambolic akiwa katika majikumu yake ya kikazi kwa maslahi ya Taifa katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar Es Salaam. Tunatarajia wahusika wote watafikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
PoliCCM hua ni zoazoa hata asiehusika wanazoa hapo walikamatwa wote sio wahusikaYeah madhara ya kujichukulia sheria mkononi hata wewe ukikutwa umekaa vibaya unazolewa unapewa kesi ya mauaji unaenda kukaa mahabusu mwaka mzima kusubiri kupangiwa session