TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

Hii ni kweli kabisa.
 
Waafrika tumeshindwa kujiongoza kwa uaminifu, kila anayepewa nafasi kusimamia sheria au kusimamia mamlaka atafeli tu, mbona wazungu wameweza sana tu katika hili pia wamefanyaje, majibu ya haya ndio maendeleo yetu makubwa tu, au kama vipi tuwapigie magoti wazungu watutawale na kutuongoza tena
 
Sasa m
 
Sasa mzee baba unadhani Release Order utapataje pasipo kutoa laki 5 Hadi million 3 kwa Kila kontena mzee baba Wacha waneemeke tu, hata mfumo unajua hayo,ushayabariki hayo ni kawaida sana kwa hapa Bongo.
 
Unaongelea hii mjizi ambayo mingi imenyongwa na miwaya? Tanzania Robbers' Authority aka TRA.
 
Daah! tena ukiwa muhasibu branch yoyote ya TRA basi wewe tayari ushakuwa thetrionaire πŸ™Œ nina dogo namfahamu ni family member aisee huko arusha anashusha vini tu πŸ™Œ, Juzi kati kaja dar kununua vyumba mbili mitaa ya mabibo kazibomoa anajenga guest πŸ™Œ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…