TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

Uko sahihi. Ni kweli wanapata hela sana. Lakini pia hawakai sana kazini. Kiwango cha kuachishwa kazi TRA ni kikubwa kuliko taasisi nyingine yeyote. Wanajenga mjumba ya kuishi kwa mbwembwe. Kazi zikiisha wanashindwa kabisa kiyahudumia majumba hayo.

Hii ndo risk yao
Muda wowote unasikia anahudhuria mahakaman ka freziwa ma acc. Ila hii huwa wanachomana labda
 
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba
True
..tena urefu wa kamba zao za malisho ni refu kabisa hasa wale vigogo. Na hivi rais mwenyewe karuhusu kila mtumishi wa umma ale kwa urefu wa kamba yake basi kwa TRA wao maisha ni sikukuu kila siku.😂
 
Ukweli usemwe.... nina rafiki yangu tumehu
itimu wote chuo.. mm nilisomea faculty X yeye alisomea mambo ya Pesa.. mimi niliwah kupa job.. yeye kaka kama miaka mitatu tu mtaa.. sasa yaye ni mwaka w pili kazini saivi jamaa ana usafiri af anapost mashamba ya mpunga tu... mimi mwaka wa 6 huu kazin hata usafiri sifikirii
🤣🤣🤣
 
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba

Kudai kodi Tanzania kuna faida kuliko kufanya biashara.

Maana ni mwendo wa rushwa kwa kwenda mbele
 
Sina chuki na wafanyakazi wa TRA bali naongelea uhalisia
TRA ndo inayoongoza kuzalisha mabillionnaire wengi vijana wadogo wanamiaka michache kazini wanamiliki utajiri wa kutishi magari ya kifahari na mahekalu na wafanyakazi wa TRA weekdays anaenda na gari la kawaida mfano wa ict alafu weekend mlimani city unamuona na range rover

Kwa sasa-hivi mabillionaire TRA ni jambo la kawaida na miaka ijayo kwa trend hii TRA kupitia wafanyakazi wake watatoa trillionaire

Kama unataka kuwa billionnaire na baadae trillionnaire pambana uingie TRA kama mfanyakazi kule hutumii nguvu kabisa ni mwendo wa kuiba
Halalfu yule mama na mdomo wake anakomaa tulipe kodi kizalendo
 
Kuna jamaa yupo hapo bandari mwana anapiga aiseee ana shusha magorofa tu [emoji23] uku anasemaa hawamu hii ikipitaa ijayo haijulikan itakuwajee hvyo acha tupigee tu .

Anakauli yake ya mama anaupiga mwingi..

Mama anaupiga mwingi sana 😀
 
Back
Top Bottom