TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

TRA inazalisha mabilionea wengi kupitia wafanyakazi wake

Mimi nasema kabisa nimeanza kukwepa kodi vizuri sana.Hii nchi ukiwa mtu wa haki, ukatimiza wajibu wako et kwa kuwa mzalendo...kumbe kuna upande wa pili wanapiga tu hizi pesa, either kwa matumizi mabovu ya serikali...n.k.
 
Polisi kuna vitengo vingi ambavyo vina hela TRA wanasubiri

polisi wa kawaida tu mwenye elimu ya form 4, traffic barabarani ana uhakika wa kutengeneza hela kila siku ambayo mtu mwenye elimu kama yake TRA haitengenezi.

sasa jaribu kuwaza ma bosi wa Polisi wanatengeneza kiasi gani

umeshawai kuwaza wale mapolisi watoa leseni za madereva mapato yao ya kila siku
Hamna kitu mzee..polisi bado sana...maisha magumu
 
mbongo hata ukimuweka akuuzie dukalako lamtaji walaki tano lazima akuibie miamia au hamsini hamsini.
hakuna mbongo ámbae haibi kazini hasa Sisi wadar mikoani sijui lakini dar mfanyakazi lazima aibe

ukiona ámbae haibi uje ofisi niyakwake hilo kwahiyo hawezi kujiibia
Siyo watu wote wezi Mkuu.
Wengine shetani hajawashika kwenye wizi,,,labda kama madhaifu mengine lakini siyo wizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Kweli kabsa na ndio maana wanasiasa wamefanya juu chini kurudisha ajirahuko kwao ili wawekane

Shemzi typu
 
Nina kijana alikuwa akifanya kazi kwangu mwaka juzi aliajiriwa ni miaka miwili sasa lakini keshajenga na anamiliki usafiri wa millioni 250
Wewe ni kaka mkandarasi kama sikosei , vipi unaendeleaje, Kuna wakati ulitisimulia Mapito yako mazito hapa jukwaani.....
 
Back
Top Bottom