TRA Kariakoo (Kipata/Lumunba) imekuwa kero kwa wenye magari madogo ya mizigo. Mamlaka imulike wafanyakazi wa pale waache hii tabia ya ovyo

Mbona wanaokamatwa na madawa ya kulevya airpot ndege walizopanda hasizishikiliwi...
 
Kwa ujumla TRA KIPATA Kuna shida Sana ubabe nauadilifu umekuwa zero. Kodi Za kubambika tu kisa Kkoo. Lakini zoezi la kukamata mizigo liwe na ustaarabu kwani ukimkamata Dereva Kirikuu na mzigo wa Mmakonde na yupo wa Kirikuu aondoke pia mtakuwa mmetoa nafasi Kwa watu wengine kupata huduma pale KIPATA
 
Mkuu hii si sawa. Mbona wanapokamata mtu mwenye madawa ya kulevya airport hawarudi nyuma na kuikamata ndege iliyomleta?
Mimi kama kazi yangu ni kuendesha gari yanihusu nini mimi bei za vitu huko kariakoo? Je kuna bei elekezi ambayo na mimi mwenye gari nimepewa ili tuseme niangalie nijue risiti ya mteja imechakachuliwa?
Huu ni uonevu tu hakuna jina lingine hapa juu hiki wanachofanyiwa wenye magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…