Mie naweza nikaongea lugha nyingine ya kitalaamu kuwa why Kodi kubwa. Inawezakana serikali Ina discourage private ownership ya vehicles ,why Ina discourage?
Sababu ya barabara aka level of services like A,B,C,D,E and F. Sasa uwezo wa serikali kujenga road Kama ya kiwango Cha LoS A Ni gharama mno yaani mno kwanza hatuna uwezo.
Wakiweks ushuru chini gari zitajazana road mno itapelekea tutakuwa na LoS E or F ambayo utakuwa unasafiri hata km 200 kwa saa nne badala ya mbili ama tatu.
.Kuna namna ya watu husika ama mamlaka ku discourage kila nzi kumiliki gari like kuanzisha toll roads, high parking fees, muda huo huo inatakiwa public transportation iwe nzuri kinyama ndicho inachojitahidi kwa DART sema Naona wanashindwa Mana bado Ni karaha kwa wwsafiri.
Hebu waza gari moja inabeba watu mbili na je hao Mia mbili kila mmoja angekuwa na gari lake huko road kungekuwaje.
Nchi yetu ama zetu unapoambiwa Ni masikini Ni ukweli Mana ukitaka ushuru uwe chini mno hata 20% ya Bei uliyonunulia.
Inatakiwa tuwe mpaka na njia nane ama multi lanes roads, hii road unajua inaweza jengwa kwa Bei gani tutajiuza mpaka sie utumwani ndipo tujenge hii roads Mana madini Kuna watu wanakula perse mpaka vizazi vyao. Labda magufuli angeipokea nchi tokea kwa nyerere akomae na mwendo ule ule nchi iwe na hela na akae madarakani mpaka muda huu yaani zaidi ya miaka 50 ndipo tungeweza Ila kwa Hali hii bwawa linacheleweshwa ili watu wauze gesi zao Mana Wana hisa sio leo tusubirie kwanza.
Na tumeambiwa kuwa kuni na mkaa unaleta mapafu homa sijui Nini tutumie gesi ili kuwanenepesha akaunti zao,yaani we are like fodders to feed their bank accounts for their incoming generation.
Wakati miaka takribani Bilioni na mabilioni binadamu amekuwa alitumia kuni na mkaa.
Ila Sasa huyu kisa kiongozi anajua kuwa tunamuona Kama Mungu ana akili Sana kuliko yeyote. Kuna muda tajiri anawaza kuwa masikini Hana akili kabisa kisa ya yeye kumiliki pesa Ila sio wote lakini yaani Kuna watu wale wenye dharau.
Samahani kwa kuwachanganyia maada jamani tozo zimetuvuruga kinyama yaani huyu maza inabidi nimtumie maza alfu kumi kwa Basi Mana kwa tozo atapokea Kama alfu tano ya kutuma na kutolea.
Mana mchumia tumbo degree 12 Hana uwezo wa kuzalisha vyanzo vya uchumi ama uwekezeji ili akusanye Kodi Bali anacheki Ni wapi pa kukwapua huyu asiwe nacho kabisa.
Kama sio kuwa wanatengeneza tatizo halafu wanalitatua ili watt wamkubali baba na mama kuwa wako nondo I don't know.
Kama walivyoua reli ya Arusha wakaja wakaifufua wakajisifu kwa wananchi kuwa Ni wajanja nipeni mrija nizidi kuwannyonya damu mbakie skeletons...
Am lost