TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp
bando unayo nunua ni una uziwa na bwana Mark? au una uziwa na mfanyabiashara mwingine sijui tigo, airtel, voda etc? na una zitumia kwa Mr. Mark pekee?...

samahani mie simfahamu huyu Mark.

Je, hizo makampuni za Selcom, NMB, CRDB, DTB pia wanauza bundles? au?

Youtube: maoni yako ni sahihi.
 
samahani mie simfahamu huyu Mark.

Je, hizo makampuni za Selcom, NMB, CRDB, DTB pia wanauza bundles? au?

Youtube: maoni yako ni sahihi.
mmiliki wa meta... kijana mwenye asili ya kiyaudi asiye amini uwepo wa Mungu
 
TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi...
Hapo hakuna kitu,hao wabongo waliovaa suti ni Sawa na chifu mangungo alipokutana na Karl peters,ni kutapeliwa tu,kadri tunavyokusanya nyingi ndio zinavyoibwa nyingi
 
TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi...
Inasikitisha kuona tunaotegemea wawe serious katika fursa hiyo ya kujadili namna tutakavyowatoza kodi hawa mabeberu, wawakilishi wetu ndio wanakenua meno kucheka cheka wakati kaburu haoneshi kucheka na mtu!

Sijui wanafurahia tu kupiga picha na wazungu hata sielewi! Kwa kucheka huko sidhani kama kweli watambana beberu vilivyo atulipe stahiki yetu! Yawezekana tayari wana bahasha na ndizo wanazochekelea!

Tukiwa serious hicho ni chanzo kikubwa mno cha mapato kuliko kukamua wananchi na tozo kila kona! Ziangalie vizuri hizo picha kwenye post #1
 
Hapo hakuna kitu,hao wabongo waliovaa suti ni Sawa na chifu mangungo alipokutana na Karl peters,ni kutapeliwa tu,kadri tunavyokusanya nyingi ndio zinavyoibwa nyingi
Umesema kweli kabisa! Si unavyoona wanavyochekelea? Tuambizane ukweli, ukiangukia katika mikono ya hawa TRA ulishawaona wakikuchekea? Ukiona hapa wanacheka kuna kitu.

Ni kama p*lis* ukikuta wamekamata mhalifu halafu wanacheka cheka ujue ya kupigia brashi tayari!!
 
Inasikitisha kuona tunaotegemea wawe serious katika fursa hiyo ya kujadili namna tutakavyowatoza kodi hawa mabeberu, wawakilishi wetu ndio wanakenua meno kucheka cheka wakati kaburu haoneshi kucheka na mtu!! Sijui wanafurahia tu kupiga picha na wazungu hata sielewi! Kwa kucheka huko sidhani kama kweli watambana beberu vilivyo atulipe stahiki yetu! Yawezekana tayari wana bahasha na ndizo wanazochekelea!!
Tukiwa serious hicho ni chanzo kikubwa mno cha mapato kuliko kukamua wananchi na tozo kila kona! Ziangalie vizuri hizo picha kwenye post #1
Sasa beberu akitozwa kodi wewe hiyo facebook unayotumia ukiambiwa ili ufungue account au ilo uendelee kutumia account yako unatakiwa utoe 5000/- pesa ya kitanzania ndio uweze kuperuzi utaweza??
 
TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi...
Kwa nini pia wasiwatoze watumiaji wa kibiashara wa mitandao?

Kuna biashara inafanyika mtandaoni huko wanachukua pesa?

Na nyie TRA mna kera,anzisheni kampeni ya kukamata watu wasioomba na kutoa risiti mbona simple tuu mnatumia askari na migambo..

Kama mtu kanunua bidhaa bila risiti kamata na piga mnada hiyo bidhaa .
 
Mzinga mwingine unachongwa. Niwendonwa kulamba tu asali.
 
bando unayo nunua ni una uziwa na bwana Mark? au una uziwa na mfanyabiashara mwingine sijui tigo, airtel, voda etc? na una zitumia kwa Mr. Mark pekee...
Iko hivi: Ukinunua bando unamlipa voda au tigo. Tigo anawalipa jamaa hao kwa kukuunganisha wewe ili upate huduma zao! Kiasi tigo/voda anavyowalipa inategemea umekaa muda gani kwenye mtandao wao na umetumia MB ngapi.

Hayo mahesabu yameandaliwa na pesa inagawika automatically! Kwa hiyo kila unapotumia mtandao jamaa wanaingiza pesa. Kwa kuwa waqtumiaji wa mtandao ni wengi sana, jamaa wanaingiza mamilioni kwa saa tu.

Kwa kuwa wanapata faida hapa nchini kwetu inabidi walipe kodi. Nchi iliyoanza kuwabana ni Australia na walilalamika sana lakini mwisho wa siku walikubali kulipa. Nchi nyingi zikafuatia kuwatoza!!
 
... wakati jiwe lenye thamani ya US 205b/- kutoka Tanzania limeonekana Dubai huku serikali ikiwa imelala usingizi wa pono hadi mitandao hiyo hiyo ya kijamii wanayotaka kuifuta ikiwaamsha usingizini! Yanatoroshwa mawe ya aina hiyo mangapi kwa mwaka? Wanyama na nyara nyingine je? Hell of money!
Usd 205b hilo jiwe litakuwa na kiongozi wa malaika ndani yake
 
Ahsante kwa taarifa... Kodi zitakongezwa kwenye bundle...
 
Hivi MBs zetu tunazonunua zinakwenda wapi?

Heheeheh swali lako limenifurahisha sana.

Mkuu internet haiingizi chochote wewe unapotumia data,,, Yaaani kama hivi tunavotumia JF hakuna hela yoyote Maxence Melo anapata kwa sisi kutumia hizi Mbs..

Wanaopata hela ni waliokuuzia hilo bundle,, na wakishapata ndio habari inaishia hapo.... Ukiingia facebook yeye sasa atapata faida kutokana na kitu gani utatumia kwa hilo bando...BUT hakuna namna Mbs itageuka kuwa pesa
 
Uwezo wao wa kufikiri umefika mwisho, ujinga tu baada ya kushiba
 
Ni kweli hii mitandao inapiga pesa bora walipe kodi
 
Back
Top Bottom