TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp
"Lengo ni kufikia mahali huko mbeleni ili kampuni hiyo ichangie kodi kwa pesa inayopata kutokana na biashara inayofanyika hapa nchini kupitia mitandao, Wananchi hawatakiwi kuwa na hofu yoyote kwasababu hii inahusu biashara inayofanyika na kampuni hiyo katika Nchi mbalimbali.
Ultimate consumer ndiye huwa muhanga
 
Kodi si TRA watalipwa kutoka kwenye MAPATO ya HELA ya MATANGAZO ambayo META wanayopata kupitia WATUMIAJI kutoka TANZANIA??.. Sasa ishu za Bando kupanda bei zinatokea wapia?
 
Ntaachana nayo hiyo mitandao
Ya nini miye....ya nini....yanini miye?
(In Steve's voice)
 
Iko hivi: Ukinunua bando unamlipa voda au tigo. Tigo anawalipa jamaa hao kwa kukuunganisha wewe ili upate huduma zao! Kiasi tigo/voda anavyowalipa inategemea umekaa muda gani kwenye mtandao wao na umetumia MB ngapi.

Hayo mahesabu yameandaliwa na pesa inagawika automatically! Kwa hiyo kila unapotumia mtandao jamaa wanaingiza pesa. Kwa kuwa waqtumiaji wa mtandao ni wengi sana, jamaa wanaingiza mamilioni kwa saa tu.

Kwa kuwa wanapata faida hapa nchini kwetu inabidi walipe kodi. Nchi iliyoanza kuwabana ni Australia na walilalamika sana lakini mwisho wa siku walikubali kulipa. Nchi nyingi zikafuatia kuwatoza!!
Hauko sahihi.
Mambo hayako hivyo.
 
Back
Top Bottom