bando unayo nunua ni una uziwa na bwana Mark? au una uziwa na mfanyabiashara mwingine sijui tigo, airtel, voda etc? na una zitumia kwa Mr. Mark pekee?...
mmiliki wa meta... kijana mwenye asili ya kiyaudi asiye amini uwepo wa Mungusamahani mie simfahamu huyu Mark.
Je, hizo makampuni za Selcom, NMB, CRDB, DTB pia wanauza bundles? au?
Youtube: maoni yako ni sahihi.
Hapo hakuna kitu,hao wabongo waliovaa suti ni Sawa na chifu mangungo alipokutana na Karl peters,ni kutapeliwa tu,kadri tunavyokusanya nyingi ndio zinavyoibwa nyingiTRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi...
Inasikitisha kuona tunaotegemea wawe serious katika fursa hiyo ya kujadili namna tutakavyowatoza kodi hawa mabeberu, wawakilishi wetu ndio wanakenua meno kucheka cheka wakati kaburu haoneshi kucheka na mtu!TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi...
Naona huelewi umepost kutumia Nini.Hivi MBs zetu tunazonunua zinakwenda wapi?
Umesema kweli kabisa! Si unavyoona wanavyochekelea? Tuambizane ukweli, ukiangukia katika mikono ya hawa TRA ulishawaona wakikuchekea? Ukiona hapa wanacheka kuna kitu.Hapo hakuna kitu,hao wabongo waliovaa suti ni Sawa na chifu mangungo alipokutana na Karl peters,ni kutapeliwa tu,kadri tunavyokusanya nyingi ndio zinavyoibwa nyingi
Sasa beberu akitozwa kodi wewe hiyo facebook unayotumia ukiambiwa ili ufungue account au ilo uendelee kutumia account yako unatakiwa utoe 5000/- pesa ya kitanzania ndio uweze kuperuzi utaweza??Inasikitisha kuona tunaotegemea wawe serious katika fursa hiyo ya kujadili namna tutakavyowatoza kodi hawa mabeberu, wawakilishi wetu ndio wanakenua meno kucheka cheka wakati kaburu haoneshi kucheka na mtu!! Sijui wanafurahia tu kupiga picha na wazungu hata sielewi! Kwa kucheka huko sidhani kama kweli watambana beberu vilivyo atulipe stahiki yetu! Yawezekana tayari wana bahasha na ndizo wanazochekelea!!
Tukiwa serious hicho ni chanzo kikubwa mno cha mapato kuliko kukamua wananchi na tozo kila kona! Ziangalie vizuri hizo picha kwenye post #1
Kwa nini pia wasiwatoze watumiaji wa kibiashara wa mitandao?TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi...
Iko hivi: Ukinunua bando unamlipa voda au tigo. Tigo anawalipa jamaa hao kwa kukuunganisha wewe ili upate huduma zao! Kiasi tigo/voda anavyowalipa inategemea umekaa muda gani kwenye mtandao wao na umetumia MB ngapi.bando unayo nunua ni una uziwa na bwana Mark? au una uziwa na mfanyabiashara mwingine sijui tigo, airtel, voda etc? na una zitumia kwa Mr. Mark pekee...
Tozo kwa kwenda mbeleNi mwendo wa tozo mpaka kieleweke...
Ila sasa hivi amezidi aiseeNaam, ingawa dogo binge kitambo
Huku JF wakija tutawatimua maana wamezidiWaje na huku jf.
Ni mpango wa kutengeneza flamu ingine kama hiyo ya sasa
Usd 205b hilo jiwe litakuwa na kiongozi wa malaika ndani yake... wakati jiwe lenye thamani ya US 205b/- kutoka Tanzania limeonekana Dubai huku serikali ikiwa imelala usingizi wa pono hadi mitandao hiyo hiyo ya kijamii wanayotaka kuifuta ikiwaamsha usingizini! Yanatoroshwa mawe ya aina hiyo mangapi kwa mwaka? Wanyama na nyara nyingine je? Hell of money!
Hivi MBs zetu tunazonunua zinakwenda wapi?
... sorry; ni TZS 250b/-Usd 205b hilo jiwe litakuwa na kiongozi wa malaika ndani yake