Ultimate consumer ndiye huwa muhanga
 
Ishu sio kutozwa kodi ishu kodi zetu zinaenda wapi na zinafanya nini tumechoka kupigwa
mr bann: umeongea jambo kubwa sana hili! Tatizo tushakuwa wachangishwaji wa pesa na viongozi ili wao wakatumie!
 
Kodi si TRA watalipwa kutoka kwenye MAPATO ya HELA ya MATANGAZO ambayo META wanayopata kupitia WATUMIAJI kutoka TANZANIA??.. Sasa ishu za Bando kupanda bei zinatokea wapia?
 
Ntaachana nayo hiyo mitandao
Ya nini miye....ya nini....yanini miye?
(In Steve's voice)
 
Hauko sahihi.
Mambo hayako hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…