Tetesi: TRA kuja na 'Inheritance Tax',mdau nini maoni yako

Tetesi: TRA kuja na 'Inheritance Tax',mdau nini maoni yako

kama viwanda wameshindwa wanavyodai awamu ya 5 ni ya viwanda basi tz ina eneo kubwa sana waanzishe kilimo cha kitaalamu hapo nina uhakika pesa itaingia lukuki

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
Fikra ya kilimo nakuunga mkono..TRA wanataka kuwakamua mpaka wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walikuja kwa mbwembwe kubwa sana!!! Vi wonder vi wonder tukaona ngoja tuwaone serikali tajiri ikijenga na kuendeleza vi wonder sasa mtatoza hadi kodi za kuzikana....shwain!!! Pesa zote kajengeni Chuttle na kuimarisha kanda maalum!!! Hakuna jipya.......heri waseme ukweli tu kuwa mali za marehemu ni za serikali sio za ndugu na watoto waliobakia
 
Nchi ina maliasili kibao,ardhi ya kumwaga,lakin inashindwa kubun mirad inayoweza ingiza pesa,kutwa kukusanya vikod kwa mama ntilie,nyingne ndo kama hiz znajadiliwa etc,..tz haiwez endelea kiuchum kama itaendelea tegemea kodi kama hiz,..na faini za barabaran
 
Kodi zote hizoooo ni jiziiii moja linakusanya ili liende nazo chatto likazitumbue na watoto wa Dada zake
Hivi huyu jamaa ana nini na familia yake maana sijawahi sikia mke wake au watoto wake wakihusishwa na kashfa zake zaidi ya watoto wa ndugu zake. hata ile nafasi ya yule bint kuingia UDOM ki utata utata inaonyesha ilikua initiative na strugle za mama au bint mwenyewe au haikubali kuwa ni familia yake
 
Kodi kama hizi zipo sana kwenye baadhi ya nchi huko ughaibuni.
Usifananishe mambo ya ughaibuni na upuuzi wetu wa hapa Afrika hasa bongo.
Kumbuka huko ughaibuni ikumbukwe kwamba hawategemei misaada .
Ndani ya mwaka mmoja Tanzania tunapata Dola ngapi kama msaada na nisawa na asilimia ngapi ya pato letu?
 
Maisha yenyewe yalivyoharibika pekee ni kodi.
Wabadili gawio kule migodini ,wanaacha madini yetu kwa mrahaba wa 4%wanaona shida kufanya iwe 30%;wanaona rahisi ni kuwaumiza watanzania kwa makodi mengi,bado rambirambi,bado tunyang'anywe viwanja,bado huko barabarani ukitoa leseni tu umeandikiwa faini.
Tutapata matitizo ya moyo watanzania wote muda si mrefu

Habeeb Marhan
 
Wananchi tukamuliwe 15% kwenye madini wanachukua 3% kwa nini tusiseme ni uchizi? Na ukifuatilia sio hizol 15% tu zipo zingine, ukiingiziwa kwenye account wanachukua, ukiwithdraw wanachukua wasilete kitu cha namna hii kwa kweli
 
Uongozi wa juu wa TRA huko katika hatua za mwisho kuanza mchakato wa ukusanyaji maoni juu aina mpya ya kodi itakayoanza kutumika mapema mwakani.

Kodi hiyo mpya itakuwa inawataka wanufaika wote wa urithi kulipa kodi ya asilimia 15, pamoja na hilo TRA pia hiko kwenye mchakato mwingine kama huo ambao hutawaka pia watu wote wanaopokea zawadi zinazozidi thamani ya mil tano(mil 5) pia kulipa kodi ya asilimia 15 ya thamani ya zawadi hiyo.

Bila shaka hili litakuwa pigo linguine kwa vibopa wanaohonga bongo movies magari maana itawabidi kuongeza asilimia 15 ya serikali juu yake.

Nini maoni yako?
Hivi siku hizi huko shuleni wanafundishwaje silabi? Naona matumizi ya "H" yanaongezeka kwa kasi sana! Kwa mfano huyu mwandishi wa hili bandiko anasema Uongozi wa juu wa TRA "huko" badala ya "uko". Pia ametumia "hiko" badala ya "iko" sasa najiuliza siku hixi Kiswahili kimebadilika?
 
Mmeniacha !! Kwani mshahara si unakatwa kodi ? Sasa iweje nilichokusanya kwa miaka yote hiyo bado pia wachukue kodi ?? Kweli tumeishiwa mawazo, rasilimali kibao hatujui zitumia sasa tunaanza kunyonya mile kidogo tulichobarikiwa..!! Mi nafikiri wajielekeze sana kwenye hizi rasilimali za nchi maana ndio zenye fungu kubwa la mapato !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Wanajamvi.... nimesoma vzuri mada iliyotolewa. Kipindi nasoma coments zenu nilifikiri nipo kwenye group la whatapp la mtaani kwangu....
Watanzania msitutie aibu yaani inaonekana uwezo wetu wa kufikiri, kufwatilia na kuchambua mada ni mdogo sana kupitia coments zinazogikia pages saba.
Mimi naamini JF ni kisima cha maarifa kumbe kuna watu ni vilaza humu sijawahi kuona. Kilaza wa kwanza ni mtoa mada.
COMMENTS ZANGU:
1. kodi inakusanywa kwa mujibu wa sheria. Na bunge ni chombo pekee kinachochambua na kupitisha muswada alafu Rais upitisha kuwa Sheria kamili ambayo TRA wataenda kuisimamia. TRA kazi yao kubwa ni kuishauri serikali juu ya masuala ya kodi na kuisimamia hiyo sheria. Kama wataona kuna chanzo cha kodi sehemu fulani watashauri serikali then itapelekwa bungeni kwa majadiliano.
2. Kodi kutoka kwenye urithi wa mali hyo ipo muda mrefu. Lakini inatokea pale tuu wanufaika wanapouza sehemu ya mali hizo kinachokusanywa hapo ni nufaiko la mrithi nayo ni kwa percent 10.
Kuhusu zawadi pia hiyo kodi ipo.. inatakiwa kwa mtumishi yetote yule anapopewa zawadi ifanye declaration ya zawadi hyo na itaangaliwa na kama itastahili kodi basi itakatwa kama benefit kwako.
Ieleweke hivi Sheria hizo zote zipo, na sidhani kama TRA inaweza kufanya hvyo.

Sheria hzo zote ni ZILIPENDWA.

Asanteni.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom