Fikra ya kilimo nakuunga mkono..TRA wanataka kuwakamua mpaka wanyongekama viwanda wameshindwa wanavyodai awamu ya 5 ni ya viwanda basi tz ina eneo kubwa sana waanzishe kilimo cha kitaalamu hapo nina uhakika pesa itaingia lukuki
nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
Hivi huyu jamaa ana nini na familia yake maana sijawahi sikia mke wake au watoto wake wakihusishwa na kashfa zake zaidi ya watoto wa ndugu zake. hata ile nafasi ya yule bint kuingia UDOM ki utata utata inaonyesha ilikua initiative na strugle za mama au bint mwenyewe au haikubali kuwa ni familia yakeKodi zote hizoooo ni jiziiii moja linakusanya ili liende nazo chatto likazitumbue na watoto wa Dada zake
Maendeleo yakumlipa Propesa sio ?wacha tunyooshwe kwa maendeleo ya taifa
Ooohoo hilo hawakuelewi...siku hawajaribiwi kama mkuluKwenye zawadi hapo kuna changamoto..
Vipi mtu akisema kaazimwa zawadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifananishe mambo ya ughaibuni na upuuzi wetu wa hapa Afrika hasa bongo.Kodi kama hizi zipo sana kwenye baadhi ya nchi huko ughaibuni.
Wameshpropoz mkuu..MA MC na kumbi za harusi zilipie kodi...bado kodi ya cheti cha NDOA KILA MWAKATutaanza kukata kodi hadi kwenye michango ya harusi na sadaka. Time will tell
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi siku hizi huko shuleni wanafundishwaje silabi? Naona matumizi ya "H" yanaongezeka kwa kasi sana! Kwa mfano huyu mwandishi wa hili bandiko anasema Uongozi wa juu wa TRA "huko" badala ya "uko". Pia ametumia "hiko" badala ya "iko" sasa najiuliza siku hixi Kiswahili kimebadilika?Uongozi wa juu wa TRA huko katika hatua za mwisho kuanza mchakato wa ukusanyaji maoni juu aina mpya ya kodi itakayoanza kutumika mapema mwakani.
Kodi hiyo mpya itakuwa inawataka wanufaika wote wa urithi kulipa kodi ya asilimia 15, pamoja na hilo TRA pia hiko kwenye mchakato mwingine kama huo ambao hutawaka pia watu wote wanaopokea zawadi zinazozidi thamani ya mil tano(mil 5) pia kulipa kodi ya asilimia 15 ya thamani ya zawadi hiyo.
Bila shaka hili litakuwa pigo linguine kwa vibopa wanaohonga bongo movies magari maana itawabidi kuongeza asilimia 15 ya serikali juu yake.
Nini maoni yako?