TRA kuna fani hazipo kwenye job careers yenu nini mustakabali wake kwa wasomi wa Tanzania

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
2,603
Reaction score
7,501
Ndugu ..

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo,

Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili kutoa fursa kwa kila msomi mwenye vigezo kuweza kutuma maombi ya kazi ?

Moja ya fani ambayo haipo kwenye career ya TRA ni hii hapa chini inayotolewa na chuo cha mipango dodoma ( institute of Rural Development Planning - IRDP - DODOMA)

Pia soma > Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yamwaga ajira

"BACHELOR DEGREE IN DEVELOPMENT FINANCE AND INVESTMENT PLANNING"

Naziomba mamlaka husika na taasisi zote za serekali tukufu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuingilia kati kutatua tatizo hili haraka maana muda wa kutuma maombi umebaki mchache sana.

Asanten.

MUNGU IBARIKI AFRIKA , MUNGU IBARIKI TANZANIA

TRA Tanzania

Nb.. ISIWE TUU KWA TRA CAREERS ILA KWENYE MASHIRIKA NA TAASISI ZOTE ZIFATILIWE NA MAMLAKA WASOMI TUNAPATA SHIDA SANA.
 
Attachments

  • Screenshot_20250210-083912~2.jpg
    Screenshot_20250210-083912~2.jpg
    72.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20250210-101703~2.jpg
    Screenshot_20250210-101703~2.jpg
    112.2 KB · Views: 4
Ndugu ..

Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo,

Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili kutoa fursa kwa kila msomi mwenye vigezo kuweza kutuma maombi ya kazi ?

Moja ya fani ambayo haipo kwenye career ya TRA ni hii hapa chini inayotolewa na chuo cha mipango dodoma ( institute of Rural Development Planning - IRDP - DODOMA)

Pia soma > Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yamwaga ajira

"BACHELOR DEGREE IN DEVELOPMENT FINANCE AND INVESTMENT PLANNING"

Naziomba mamlaka husika na taasisi zote za serekali tukufu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuingilia kati kutatua tatizo hili haraka maana muda wa kutuma maombi umebaki mchache sana.

Asanten.

MUNGU IBARIKI AFRIKA , MUNGU IBARIKI TANZANIA

TRA Tanzania

Nb.. ISIWE TUU KWA TRA CAREERS ILA KWENYE MASHIRIKA NA TAASISI ZOTE ZIFATILIWE NA MAMLAKA WASOMI TUNAPATA SHIDA SANA.
Red Black. Labda kuna jambo nami nichangie hapa. Kuna baadhi fani siyo kila taasisi utakuta wanauhitaji nazo. Mfano mtu aliyesoma SUA naye atasema sehemu kama tra kakuta hakuna requirement yake. Au mtu aliyesoma Tax kweli umkute yupo idara ya afya. Labda tusaidiane tunapoamua kusoma au tunapopata nafasi ya kusoma ni vyema pia tukaangalia tunachosomea huko mbeleni tumejipanga kulenga ajira au kujitegemea na kama ajira maeneo yapi. Ni sawa na mtu aliyesoma kodi ( tax) akikosa kazi tra basi hapo ni kuanzisha kamouni ya ushauri wa kodi au kuajiriwa kwenye kampuni za ushauri wa kodi .
 
Hili ni Tatizo kubwa. Serikali bado inatumia scheme of work za zamani sana. Mfano kwenye Afya kuna muundo wa Utumishi wa Mwaka 2009, fani nyingi mpya hazimo humo.

Ata TRA kwenye nafasi ya Academic Officer II nimeshangaa sana kuona wenye degree zisizo za ualimu wameruhusiwa kuomba. Mfano degree ya sheria nk.
 
Red Black. Labda kuna jambo nami nichangie hapa. Kuna baadhi fani siyo kila taasisi utakuta wanauhitaji nazo. Mfano mtu aliyesoma SUA naye atasema sehemu kama tra kakuta hakuna requirement yake. Au mtu aliyesoma Tax kweli umkute yupo idara ya afya. Labda tusaidiane tunapoamua kusoma au tunapopata nafasi ya kusoma ni vyema pia tukaangalia tunachosomea huko mbeleni tumejipanga kulenga ajira au kujitegemea na kama ajira maeneo yapi. Ni sawa na mtu aliyesoma kodi ( tax) akikosa kazi tra basi hapo ni kuanzisha kamouni ya ushauri wa kodi au kuajiriwa kwenye kampuni za ushauri wa kodi .
Mkuu kuna fani zinaingiliana sana sasa hivi waliangalie hili mfano finance & investiment na public finance au finance and banking au account and finance kuna masomo hapo yameingiliana sana.. fani ni nyingi mno zinaingiliana tatizo ni majina mkuu
 
Back
Top Bottom