Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Ndugu ..
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo,
Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili kutoa fursa kwa kila msomi mwenye vigezo kuweza kutuma maombi ya kazi ?
Moja ya fani ambayo haipo kwenye career ya TRA ni hii hapa chini inayotolewa na chuo cha mipango dodoma ( institute of Rural Development Planning - IRDP - DODOMA)
Pia soma > Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yamwaga ajira
"BACHELOR DEGREE IN DEVELOPMENT FINANCE AND INVESTMENT PLANNING"
Naziomba mamlaka husika na taasisi zote za serekali tukufu ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuingilia kati kutatua tatizo hili haraka maana muda wa kutuma maombi umebaki mchache sana.
Asanten.
MUNGU IBARIKI AFRIKA , MUNGU IBARIKI TANZANIA
TRA Tanzania
Nb.. ISIWE TUU KWA TRA CAREERS ILA KWENYE MASHIRIKA NA TAASISI ZOTE ZIFATILIWE NA MAMLAKA WASOMI TUNAPATA SHIDA SANA.