TRA mfumo wenu wa e-fillling na utendaji kazi wenu ni Mbovu sana

TRA mfumo wenu wa e-fillling na utendaji kazi wenu ni Mbovu sana

CHEF

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
222
Reaction score
122
Kwa taasisi kubwa kama TRA inakosa back up, eti wanaweza wasifanye kazi siku nzima eti mtandao hakuna seriously

Yaani unaenda asubuhi mpaka mchana wakati mwingine siku nzima hawatoi huduma eti mtandao hakuna, Are you serious? Ina maana TRA inakosa back up?

Bora ingekuwa tatizo la Mara moja lakini ni tatizo linatokea Mara kwa Mara.

Mfumo wa utendaji kazi sio organized mfano unaweza kuwa una tatizo , wanakuambia hili nenda IT department,
Ukienda IT department wakishindwa watakuambia nenda HQ that means hakuna integrated system ya kufanyia kazi kwa wataalam wote haijalishi yupo wapi kwani hawawezi kuwa na system ili wataalam wa IT wakawa wana-solve (FAQs) at a right time.

Kwani hawawezi kuwa na system ya kuwa wanatuma matatizo yote yalitokea kwa siku kisha wanasolve at a right time.

Nawakumbusha dunia imebadilika watumie teknolojia kufanya kazi kisasa .
 
Hii nchi ina upumbavu mwingi Sana sijui sisi watu weusi tumemkosea Nini mungu!

Hao TRA Nina history mbaya Sana nao

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom