TRA mnawaibia TFF na timu za mpira kwa kuwakata VAT badala ya kusubiri iletwe kwenye ritani za mwezi husika

Mkuu kwa akili yako entertainment siyo sehemu ya biashara yangu?
wewe unaonaje? starehe zako utadai vipi VAT urejeshewe? Kesho utadai na pesa uliyompa mchepuko wako nayo urejeshewe. japo kiukweli inaniuma lipa kodi lakini ndiyo inayolet maendeleo sina budi kulipa.
 
Unadhani kabisa sihitaji mda wa kupumzika nikiwa mfanya biashara?
 
Back
Top Bottom