General Stalin
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 652
- 501
Ktk awamu ya tano nani alikwapua trillions? au unaongeaNonsense , nchi hii hamna faida ya kulipa kodi , it doesn't make any difference . Mijitu inakwapua trillions haiwajibishwi halafu inapambana kupata Mia mbili Mia mbili za wachina . ****
NB. Wenye mamlaka ongezeni faini kidogo kwa hawa wafanyabiashara wakwepa kodi