Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shidaSamahani mkuu wangu
Kituoo. KINACHOFWATASalamu wakuu:
Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina).... kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana.
Wanauza bidhaa kwa kile wanachoita ‘bei ya kiwandani’ hivyo mteja unategemea unafuu wa bei, na kwa kuzingatia hilo nilifika hadi kiwandani kupata ofa hii (godoro).... ila masharti niliyopewa ni kwamba stakabadhi (risiti) itaandikwa NUSU ya kiasi ninayolipia mzigo.
Nilipoonesha kutoafiki kwanza ‘wahudumu’ wakanishangaa kwamba mi wa wapi sijui utaratibu huo ni wa siku zote, na kauli za vitisho kuwa wataacha kuuzia ‘watumiaji’ ili kuepusha usumbufu na ujuaji badala yake wauzie wafanyabiashara tu ambao wao wanaelewa.... nami kwa vile sikutaka kukosa kilichonipeleka ikabidi kukubaliana na masharti nishiriki kwenye hujuma.
Mamlaka zina mkono mrefu, mnajua yanayoendelea kukwepa VAT za EFD.... huu ni mfano tu ila picha ni kubwa sana TRA kuweni macho.
Alitaka mtelezo anunue kwa bei ya kiwandani. Actually angeenda kwa retailers angepata risiti ya full price ila kitonga kitamu [emoji23][emoji23][emoji23]Sio unakataa kitu bila kua na hona za msingi we ungewaambia tu nyie niandikie risiti halisi maana risiti nikiipeleka ofisini naenda kurudishiwa hela yangu..ila kama hujawahi fanya biashara huwezi elewa umuhimu wa wanachokifanya hao wachina..pia hata ukinunua mzigo i.e china invoice hua haiandikwi bei halisi uliotoa
Basi nenda kwa retailers. Chagua moja: kitonga au uzalendoCome to your senses, uzalendo kwanza.
Yes but do you have proof of the real purchase price kuwa 188k x2?Uko sahihi.
Nimeamua kutumia jukwaa hili kutoa dukuduku nikiamini TRA pia wako humu, uongo na unoko wangu uko wapi ndugu nimeweka sehemu ya risiti hapo.... huko police wala sikuwa na lengo la kukukamatisha endelea kuhujumu tu.
Si zimeandikwa Petrol au Diesel?Kuna kamchezo kameingia, risiti zinazotoka sheli baada ya kununua mafuta kuna baadhi ya watu huwa wanaziacha.... Juzi kati Kuna boda boda nilipanda akaniambia hizo huwa watu wa sheli wanaziuza kwa wafanyabiashara.....
Sijajua kama kuna ukweli katika hilo.
Si zimeandikwa Petrol au Diesel?
Kuna ukakasi hapa...
Yani umenunua nguo za 30,000 afu u apewa risiti ya EFD ya Diesel ya 30,000?
I thought so too kwa mbali.Wanaozinunua ni wafanya biashara ambao wanaenda kuzijumlisha kwenye expenditure zao ili matumizi yaonekane mengi na faida kidogo hence kodi inakua ndogo..
I thought so too kwa mbali.
Kwahiyo accounts zinazokuwa audited ni tofauti na zinazoenda TRA for tax purposes
Yes but do you have proof of the real purchase price kuwa 188k x2?
Sitaki risiti Mimi shida yangu ni godoroNihikikishie kuwa utadai risiti halali
....Mkuu, hapo unatumia vibaya neno 'vitisho'. Hapo walikupa option tu sio kutishiwa!Soma vizuri mkuu wangu, nilitishiwa kuwa nikileta ujuaji bora niache kununua nikanunue dukani.... nikawaza kuhusu punguzo na nimechapa mwendo hadi kiwandani nikaamua kuihujumu serikali.
....Mkuu, hapo unatumia vibaya neno 'vitisho'. Hapo walikupa option tu sio kutishiwa!
Ama ununue bidhaa uliyofuata kiwandani kwa masharti yao ama ukanunue dukani kwa bei ya dukani! Umetishiwaje hapo???
Ulitumbuliwa vyeti fake au nini brother!Nonsense , nchi hii hamna faida ya kulipa kodi , it doesn't make any difference . Mijitu inakwapua trillions haiwajibishwi halafu inapambana kupata Mia mbili Mia mbili za wachina . ****
Uzalendo uanze na SISI.